Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mmh!! Huyu mwanamke ni hatar sana... mtu yeyote akitoa maneno machafu wakati ana hasira ujue ana maanisha, ney arudishe tu damu ya watu, maana kama watoto anao wengi
Akachukue mwanae !!! haijalishi baba yake ni nani mtoto chini ya miaka 8 ni wa mama
Chini ya miaka 8 ni wa mama kama mama mwenyewe ana uwezo wa kumtunza na ametulia. .....kama mama kiguu na njia na hana muda wa kukaa na mtoto basi mtoto huwa anapewa baba kumtunza
sasa kwa ney na siwema bora apewe siwema si ney
kabisa kabisa
huyu dada anapenda umaarufu
Sijui danga gani kapata tenaa
Umalaya kwa faida swafi sana ! :lol:
Kanyag'anywa gari na kuwekwa selo juuuu
Hebu ntupie huo ubuyu wa kuwekwa selo
Dah... Umenikumbusha mbali sanaaa aiseee..