Baada ya Kutemwa na Ney wa Mitego, Siwema aendelea kupeta, anunua Gari mpya kwa hela zake mwenyewe


Alaaa... Kumbe shosti. Atia aibu lols... hajui kula na kipofu aisee, daima mkataa pema pabaya panamngoja!
 
Hawa vigogo wa mwanza wako kama wa arusha MTU ana mil 200 wanasema trionea
 
Kashatoka jela kwa kumtapeli babu wa watu kimapenzi na kuchuma huku akimpiga picha za u**i?
 
Pole sasa unatumikia Jela kwa mashauzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…