Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

aad

Member
Joined
May 15, 2019
Posts
66
Reaction score
63
Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
 
Unatakiwa ku host.
Buni domain name yako kisha ilipie kwa hosting agents ugapewa account yako CPnael ambapo uta upload files na database zako..YOU ARE DONE

mkuu hapa sijaelewa
 
Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
Nafanya domain registration pamoja na web hosting kwa sh 75,000 kwa mwaka. Nakupa cpanel account utayotumia ku upload content na kutengeneza email accounts

0767659145, 0787659145
 
Safi....msaidie kijana kwa maelezo zaid aad
 
Ipo sana hii mkuu..Mimi mpaka mwaka wa pil chuo nilikua sifaham mambo ya hosting na sio mbali sana it was 2012 tu hapo
Ok.

Hapo unaweza tafuta free hosting wa vinginevyo kama unae pesa nunua space na domain name.

Natumia Mamdali Hosting. Wapo vizuri sana
 
Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
Mkuu umefikia wapi?
 
For learning purposes tumia free hosting platforms kama
Netlify
Heroku
Vercel
etc. Zipo nyingi, zi-search tu Google na maelezo yake Namna ya ku-host yapo straight forward au unaweza pitia YouTube Kuna Tutorials kibao
 
Back
Top Bottom