Baada ya kutimuliwa kwenye Ligi kuu NBA Hasheem Thabeet atimuliwa ligi ya chini G league[emoji28]

Hivi wacheza kikapu wa NBA na wacheza mpira wa ulaya WAP wanalipwa pesa nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
NBA inalipa zaidi kuliko professional league yoyote ile duniani.

Kwa mwajibu wa forbes, NBA ilitengeneza kiasi cha $24 billion kwa matangazo ya TV mwaka 2017 wakati epl(ligi tajiri kwenye soka) ilitengeneza kiasi cha paundi 5.4 bilion sawa na $7.04 billion hii ilikuwa ni record.

Ikumbukwe epl ndio ligi inaooogza kwa kutazamwa zaidi upande wa soka.

Kwenye list ya wachezaji ya wanamichezo 100 matajiri zaidi duniani NBA imetoa wachezaji 35 ndio ligi inayoongoza kwa kutoa wachezaji wengi matajiri kwa mujibu wa bleachreport.

Kiuhalisia Hasheem Thabeet amechezea shilingi chooni kwenye hiyo article aliyekuwa kocha msaidizi wa memphis anasema hasheem ni mchezaji aliyependa lifestyle kuliko kufocus kwenye basket hata wachezaji wenzie walikuwa wanamwita hollywood.

Lakini kubwa lililomuangusha ni maswala kiufundi(siujui mchezo basketball) hiyo article ya bleachreport imeeleze vizuri sasa inaonyesha jamaa hakuweka juhudi za kuboresha skills zake.
 
washindwa wengi ndio wanashangilia
 

huwa nashindwa kuelewa hii ni roho ya namna gani.
 
Good.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…