feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
We ni mzungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nyuzi kama hizi wabongo wanachangia meno yote nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nyuzi kama hizi wabongo wanachangia meno yote nje
NBA inalipa zaidi kuliko professional league yoyote ile duniani.Hivi wacheza kikapu wa NBA na wacheza mpira wa ulaya WAP wanalipwa pesa nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
washindwa wengi ndio wanashangiliaTunafurahia sana wenzetu wasipofanikiwa, wakitukanwa kwenye mitandao, wakiandikwa kwa mabaya hata tusiyoyafahamu, wakioneshwa hawawezi, wakitumbuliwa na hayo yote mabaya. Binadamu tuna chuki kubwa dhidi ya wenzetu. Hebu jifikirie, ungekuwa wewe ungejisikiaje? Halafu hebu fikiri zaidi, je, itakusaidia nini ukifurahia mabaya yakimtokea mtu mwingine? Do you gain anything? Itakupa mkate wa siku? Tusiwe sadists. Leo kwake, kesho kwako,
Tunafurahia sana wenzetu wasipofanikiwa, wakitukanwa kwenye mitandao, wakiandikwa kwa mabaya hata tusiyoyafahamu, wakioneshwa hawawezi, wakitumbuliwa na hayo yote mabaya. Binadamu tuna chuki kubwa dhidi ya wenzetu. Hebu jifikirie, ungekuwa wewe ungejisikiaje? Halafu hebu fikiri zaidi, je, itakusaidia nini ukifurahia mabaya yakimtokea mtu mwingine? Do you gain anything? Itakupa mkate wa siku? Tusiwe sadists. Leo kwake, kesho kwako,
Good.NBA inalipa zaidi kuliko professional league yoyote ile duniani.
Kwa mwajibu wa forbes, NBA ilitengeneza kiasi cha $24 billion kwa matangazo ya TV mwaka 2017 wakati epl(ligi tajiri kwenye soka) ilitengeneza kiasi cha paundi 5.4 bilion sawa na $7.04 billion hii ilikuwa ni record.
Ikumbukwe epl ndio ligi inaooogza kwa kutazamwa zaidi upande wa soka.
Kwenye list ya wachezaji ya wanamichezo 100 matajiri zaidi duniani NBA imetoa wachezaji 35 ndio ligi inayoongoza kwa kutoa wachezaji wengi matajiri kwa mujibu wa bleachreport.
Kiuhalisia Hasheem Thabeet amechezea shilingi chooni kwenye hiyo article aliyekuwa kocha msaidizi wa memphis anasema hasheem ni mchezaji aliyependa lifestyle kuliko kufocus kwenye basket hata wachezaji wenzie walikuwa wanamwita hollywood.
Lakini kubwa lililomuangusha ni maswala kiufundi(siujui mchezo basketball) hiyo article ya bleachreport imeeleze vizuri sasa inaonyesha jamaa hakuweka juhudi za kuboresha skills zake.
Kuna jamaa hapo anamwambia atafute desk job nahisi atasikiliza ushauri na kufanyia kazi