Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
Bashite anakaangwa huku!!weitaa niletee kili bariiiidiii!!ooh kumbe ni muda wa kazi,basi niletee karanga movie imekuwa tamu,steling anafia bustanini uwii!shkamoo ruge mwaga ukwel le mbururaz aje amtetee tena!nacheka kwa dharauu!!!
 
kutokana na maelezo ya Ruge, nao sasa wamemchoka Bashite kabisaaaaaaaaaaaa.
 
Acha ujinga mbona anamkaanga hamtetei

Kama hamtetei Makonda mbona kuna ukweli ulio wazi kuwa akina Soud Brown na Kwisa walipigwa na wale askari aliiongozana nae na hata wao wenyewe wamesema lakini Ruge hapa amehojiwa kuhusu hilo kasema kuwa Watangazaji hao hawakupigwa wala kuguswa kokote?
 

Kuna Watu wavivu wa kunielewa na ninachokitaka hapa Ruge aseme ukweli wote ili atusaidie kuweza kujua Makonda hafai na asilete Urafiki au Ushikaji wake na Makonda.
 
Na lile tangazo ambalo limetoka millardayo.com watatuambia nin
 
Topic haina mashiko tena .....anachoongea Regu ni tofauti na ulichoanzisha ....hakuna haja ya kujadili Uzi huu
 
Sasa wewe ulieleta hii habari unajiskiaje manake umeongea uongo mtupu...Ruge kaongea mengine wewe umesema mengine???

Kwani amemaliza? Umesikia aliyoyasema lakini? Msianze kukimbilia kusema GENTAMYCINE nimekurupuka bali jaribuni kutumia sana akili zenu. Amekiri kuwa Yeye ni Rafiki mkubwa wa Makonda.
 
We nae ni kajipu
 
Acha uwongo wewe mm naangalia ruge kaweka wazi kila kitu hajamtetea kwa chochote
 
Ila ruge kamchana rc...

Kama kamchana ni vizuri na ndicho nilichokitaka Mimi na hapa nilipo sasa najiona Mshindi kwani kama angeongea tofauti ndipo angenichefua. Narudia tena kusema kama Ruge Mutahaba ameongea ukweli na hajapindisha na vile Vitisho alivyopewa jana Oysterbay na Stesheni najiona Mshindi. Safi sana!
 
Yani we we unadegree ya uongo na umbeya au bado unastock ya viroba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…