Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga mbona anamkaanga hamtetei
Gentamycine uyasemayo yanawezekana kabisa lkn hakuna wakati wowote ambapo giza lilishindana na nuru, au uongo ulishindana na ukweli.
Yote yanayomtokea dogo leo ni matokeo ya giza kujaribu kumshinda na na nuru, nikuhakikishie haitawezekana, ndivyo makubwa yatakavyozidi kutokea.
Kubwa tunalozidi kujifunza ni hili, ni Mungu pekeee tu ambaye hajaribiwi.
Sasa wewe ulieleta hii habari unajiskiaje manake umeongea uongo mtupu...Ruge kaongea mengine wewe umesema mengine???
We nae ni kajipuHongera kwa Clouds kama nao hawatasikiliza ya mtandaoni. Clouds ni tishio kwa kazi nzuri wanayofanya ilivyo juu kupita kampuni zingine.
Na kupendwa kwa kipindi hicho na Rais pia ukaribu wa Rac nae kupenda kutumia.
Ndio imeleta haya ya kukuzwa. Inaonekana clouds kuna wafanyakazi wamechoka kazi, wachakachuliwe kwa kula hongo kuchafua kampuni hiyo.
Clip ya video inaonyesha utulivu, namba moja aliye kaa reception amekaa ametulia na Mh. Makonda kaingia kama walivyomzoea. Na ni kiongozi ulini muhimu sanaaaa kwake.
Nyie mnaokuza mambo ndio mjitafakari.
Ooh na vyeti feki navyo mlitengeneza bila kutumia akili,halafu eti nyie wasomi ha ha haaaaa
Makonda oyeeeeeee
Update: naona uzi umepewa u breaking news
Kwa lipi? Ili mtibue ya 360 au hamjui ya Malaika yamekuwepo tangu?
Update:
Ooh now tetesi...bora iwe hivyo as ni uongo mtupu huyu tunamjua zake ha ha haaaa
Acha uwongo wewe mm naangalia ruge kaweka wazi kila kitu hajamtetea kwa chochoteKatika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.
Kwa habari za Kiuchunguzi kabisa zinasema kwamba ni kweli tukio lilifanyika na hata Mabosi Wakuu wa Clouds Media Group Kusaga na Mutahaba walikasirishwa mno na Kiktendo kilichofanywa na Makonda lakini baada ya mmoja wao kuitwa na KUTISHWA na wenye Mamlaka na hii nchi hatimaye Ndugu Ruge Mutahaba amekubali KUUPINDISHA ukweli wote ambao kimsingi Watanzania wengi tumeuona.
Katika Interview ambayo Ruge Mutahaba anaenda kuifanya muda mfupi ujao tegemeeni haya yafuatayo:
Ili kuonyesha kuwa Clouds Media Group WAMETISHWA kinyume na hali ambayo ilikuwepo jana asubuhi Ofisini Kwao ambapo karibia Wafanyakazi wote walihamaki na kumlaumu sana Makonda asubuhi hii hii katika Kipindi cha Clouds tv 360 Watangazaji Sam Sasali, Babie Kabae na Hassan Ngoma wametumia muda mwingi kuweza kupinga tukio zima huku wakitucheka sisi Watanzania ambao kiukweli tukio zima tumelipata ile ile juzi usiku na wakimtetea sana Mkuu wa Mkoa Makonda.
- Anaenda kumtetea kwa nguvu zote Makonda huku akitumia muda mwingi kumsifia.
- Anaenda kusema tukio halikutokea Clouds bali lilitengenezwa tu.
- Anaenda kusema Makonda hana Uadui na Clouds Media Group.
- Anaenda kusema Makonda anafanya Kazi nzuri kwa Tanzania.
- Anaenda kumgeuka Mchungaji Gwajima kwa nguvu zake zote.
Pole sana Ruge Mutahaba najua umetishwa mno jana huku pia ukiogopa kupoteza MASLAHI yako na kibaya zaidi najua umekubali yaishe ILI tu Makonda asiliibue lile sakata lako ambalo nafahamu unalijua mno ambalo linakusaidia pia kukuweka hapa mjini.
Kwa kukusaidia tu tuna Watu wetu hapo hapo Mjengoni Kwako Clouds Media Group ambao wametupa UKWELI wote. Tunasubiri ufanye hiyo propaganda yako ili na sisi tusiopenda UNAFIKI wako / wenu TUFUNGUKE zaidi.
Ila ruge kamchana rc...
Yani we we unadegree ya uongo na umbeya au bado unastock ya virobaKatika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.