Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
muambieni huyo Kabaye aache kusema "boss Ruge" anasound flattering. kurudi kwenye point, mtu asiyekuwa na elimu ni rahisi kufanya kituko alichofanya man bashi, kile kituko ni dalili za ujinga.
 
Ushaona ulivoumbuka
 
Kwani amemaliza? Umesikia aliyoyasema lakini? Msianze kukimbilia kusema GENTAMYCINE nimekurupuka bali jaribuni kutumia sana akili zenu. Amekiri kuwa Yeye ni Rafiki mkubwa wa Makonda.
uliyosema ni uongo kubali tu wewe umesema uongo..umetunga story isiyo na ukweli...huyu jamaa kashasema matisho hayafai sasa hapo unategemea nini...
 
Hongera sana ruge kwa ukweli unaoekeza...... Nawapenda zaid
 
Yani we we unadegree ya uongo na umbeya au bado unastock ya viroba

Kunielewa Mimi na Malengo yangu unatakiwa uwe na akili kubwa na za kutosha ILA ukiwa Mbayuwayu au Ngumbaru hutonielewa kamwe.
 

Yaani wewe umeshikilia hili? Ruge kesha mkaanga Bashite. Wapigwe wasipigwe yaliotendeka yanatosha
 
Ruge mwenyew mfanyabiashara wa unga huyo
 
We ni jikedume
 
Haya mapenzi ni ya kufanyana..... sio bure..ila kujua nani anafanywa ndio ngumu
 
Hivi yule mwenye initials za BCM uliyedai kuwa una taarifa zake kuwa angetumbuliwa na CCM wiki mbili zilizopita alitumbuliwa? Na kwa yeyote ambaye anasikiliza kipindi Ruge kaeleza explictly bila kumtetea Bashite. Ni busara kutokuwa na kimbelembele kwenye kujua mambo.
 
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Makonda anawajibika kuwaomba radhi clouds.... Ruge anaongea kw uchungu sana..
 

Umeumbuka kweupe vibaya sana, muache tabia za kusemea mioyo ya watu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…