Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
hajamtetea kabisa, amempasua vipande vipande.....sidhani kama bashite atapona kwa issue hii. asipoadibishwa hakika tunatakiwa kutangaza mfungo wa taifa zime kumsaidia rais wetu.
 
Nyote mnaosema GENTAMYCINE mzushi na mwongo naomba anzeni kwanza na wale ambao jana walikuja humu na threads nyingi wakisema kuwa Ruge Mutahaba alikamatwa na akaenda Central Police na bahati nzuri Ruge Mutahaba muda huu huu amepinga na kasema kuwa hakuenda Central Police na aliishia tu Oysterbay kutoa maelezo. Hivyo kabla ya kukurupuka na GENTAMYCINE basi anzeni kwanza na WAZUSHI wa threads za jana ambazo hata sasa hivi bado zipo na zina trend. Nimefurahi mno Ruge Mutahaba kuweza kufunguka na sasa lengo langu kuu la kutaka kujua ukweli juu ya hili limetimia na sasa sina tena Ugomvi na Mtani wangu Ruge kwani angeenda kinyume nilikuwa tayari nina Makombora yangu ya IBM ( Intercontinental Ballistic Missals ) nimeyaandaa dhidi yake. Ana bahati mno Mtani wangu!

Nimwombe tu Makonda kuwa atoke sasa Kwake Masaki na aende IKULU kwa Rais amwambie kuwa IMETOSHA na atuachie Mkoa wetu kwani kwa maelezo KUNTU ya Ruge ni dhahiri kuwa Paul Christian Makonda HATOSHEI na AMETOKOTA.

Rais JPM fukuza Kazi upesi Makonda.
 
Hivi sheria ya mitandao bado ipo hai?!!
 
Acha porojo wewe.Ruge sio wa hivyo hope umejionea alivoongea ukweli kama Director.
 
Ame
hahahahah, amekuaibisha na upupu wako uliondika, nimemsikiliza nadhani alichoongea ni cha ukweli
 
SIJUI KUHUSU HILO ATAKALOONGEA RUGE, LAKINI KWAMBA MAKONDA AMETETEWA KWENYE CLOUDS 360 LEO HII TAREHE 20/3/2017 SIO KWELI, NIMEANGALIA KIPINDI NA SIJASIKIA MAHALI AKITETEWA- SINA HAKIKA KAMA UMEANGALIA WEWE MWENYEWE AU UMEHADITHIWA!!
Yaani Ruge amemaliza mchezo. Km kichuya
 
Kabisa watu wengine wanajifanya kuwajua wenzao kuliko hata wao wanavojijua

Huna unalolijua hivyo nyamaza tu halafu nikushauri tu utapoteza bure muda wako na Mimi ambaye kamwe hutoweza kuzijua mbinu zangu ninazozitumia kuweza kulifanikisha NILITAKALO. Nikuhakikishie tu tena kwa kujiamini zaidi kuwa najiona MSHINDI kwa nilichokifanya na huwezi jua yawezekana hata bandiko langu hili pengine aliliona kabla hajaanza kuhojiwa na limeweza kumsaidia kubadilisha upepo.
 
Niliwahi kusema katika moja ya uzi ulioanzisha kipindi kilichopita kuhusu Gerson Msigwa nikakwambia lifahamu jambo kwa ufasaha ili upate kulisema vyema. Naona leo umeudhihirisha ujuha wako
 
We vip kanye mbele uko usiniaribie siku... Nilichokukosea nini hasa
Na anafunguka kweli na anaongea bila hofu
 
Ame

hahahahah, amekuaibisha na upupu wako uliondika, nimemsikiliza nadhani alichoongea ni cha ukweli

Lengo langu LIMETIMIA na najiona MSHINDI na pengine nadhani badala ya kupovuka kujifanya mnanishambulia basi MNGENIPONGEZA kwani ujanja nilioutumia ambao kwa upeo wenu mfupi hamtoweza kunielewa GENTAMYCINE.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…