Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?


laizer alitangazwa kama bilionea wa tsh, na hata alipiga picha na cheque yenye billion za tsh hio halikua na tatizo ndo maaana nmeanza kwa kuuliza je ni bilionea wa tsh ili story zisiwe nyingi, because unapomuweka dewji kwenye same bilionea list na mbowe inakua haijabalance!

- naheshimu pia mawazo ya nyie ambao hamna chama hio kauli ya mwisho nmeiweka kiutani tu mkuu wala usiwe personal maana siasa zenyewe zmehamia online saaahv bila vitendo
 
Tuendelee na maisha mkuu; tusije tukaanza kunyimana hadi riziki kwasababu ya vyama hivi, uccm na uchadema sio Utanzania, hivyo vyama kuna siku isiokua na JINA vitakufa but Tanzania itabaki hadi Mungu atakavyo amua vinginevyo.
 
Pole MKUU,nyongo siyo nzuri kwa afya

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
umechelewa sana ! ingekuwa hafanyi kitu unadhani TRA wangemtwika kodi ya bil 2 na mil 600 ?
Nimeuliza. Yupo Forbes? Kodi za bilioni kitu gani! Hapa Mwanza wapo akina Kitana, Njiwa Pori na Lwempisi wanalipa zaidi ya hizo. Hata Mh. Tabasamu, Mbunge Sengerema (CCM) analipa hizo kila mwaka!!! Au unaleta mambo ya "Ukipenda chongo unaliita kengeza"!?
 
Billionaire msukuma, kibajaji oooops Gwaji boy.
 
Chuki binafsi.
 
Mbowe ubilionea wake umetokea wapi?
Mshua wake alikuwa na pesa ya kutosha, pia mshua alikuwa mshikaji wa Rais wa kwanza Tanzania vuta picha mwenyewe, mshikaji wako ni Rais unategemea nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…