Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Kibajaji na Musukuma.
 
Hivi Gwajima yule anayefufuaga wafu hawezi kuwa bilionea?

Maana nasikiaga eti sadaka za pale kwa ibada moja tu ni magunia ya hela bado makanisa yake mikoani na uuzwaji wa vitabu vyake pia au hizo hela anazipelekaga mbinguni?
Askofu Rashidi Gwajima bhana
 
Hakuna mnyonge anaweza kufanya hivyo!

yaaani mngejua mbowe mwenyewe ni opportunitistic, ingawa ni vyama karibia vyote vya upinzani ila mbowe amezidi, amefika stage kuuza chadema kisa pesa za lowasa na apa tunaambiwa ni billionea saasa mnatuchanganya sasa. juzi kapewa tax report mil 58 kahamia dubai , hyu ndo bilionea wenu? 😂
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Mkuu, hivi sekta ya ruzuku za chama na makato ya wabunge wa chama chake hazitoshi kumwingizia mapato ya kumfanya kuwa bilionea?
 
yaaani mngejua mbowe mwenyewe ni opportunitistic, ingawa ni vyama karibia vyote vya upinzani ila mbowe amezidi, amefika stage kuuza chadema kisa pesa za lowasa na apa tunaambiwa ni billionea saasa mnatuchanganya sasa. juzi kapewa tax report mil 58 kahamia dubai , hyu ndo bilionea wenu? 😂
Usijichekeshe wewe, sitegemei mnyonge kama wewe uwaze vingine, zaidi ya kuwa na wivu na roho mbaya.
 
sasa wivu natoa wap? kwan mm ndo nliuza chama chenu? mpigieni kelele uyo billionea wenu ambae ameletewa kodi mil 50 akakimbia
 
Hatuna njaa wewe, tunashangaa nyie ndio mnapiga kelele!
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Wivu kidonda mkuu
 
ningekua sina hela ningekua saaahv nampamba mwenyekiti wa milele wa chadema aniangalie kwenye cheo ufipa
Naona bado unaendelea kumwabudu mwendazake,toa kivuli cha mwendazake hapo kwenye profile pic
 
Back
Top Bottom