Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Naona unajaribu kutuaminisha kuwa Mbowe ni miongoni mwa mabilionea ila sema tu hatambuliki hivyo hapa nchini kwakuwa amewekaza Ulaya na Mashariki ya Mbali.
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
[emoji23] ivi uko timam wewe? kua na hoteli nje ya nchi ndo kua billionea? ndo maaana nkakuuliza ni billionea wa tsh ama ligi ya mo dewji, maaana mpaka tunaongelea apa saaahv mo dewji ndo tajiri wa kwanza na bilionea pekee afrika masharika na kati, na pia ujue rostam sio billionea ni millionaire! yaani ukitaka kua na status ya billionea maaana yake una networth ya kuanzia trillion 2 za kitanzania, sasa wewe umeona kua na hoteli nje ndo amefika trillion 2? ivi hio ofisi yenu apo ufipa hua mnajadili nn haswa?
Mbn unaongea chakula cha kuku wewe..sawa mbowe sio billionaire billionaire Ni wewe..
 
Sikusikia mkuu. Noma sana.
Billionare MwanaFA anatapishwa mzigo mbele ya pilato.
Screenshot_20210414-191018.png

Screenshot_20210414-191000.png
 
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Haya ni mazungumzo ya vijiweni? Kujua na kutojua haina tija!
 
Billionare MwanaFA anatapishwa mzigo mbele ya pilato.
View attachment 1751973
View attachment 1751974

Mkuu hii nilisikia, kama hii ndo unaongelea then bado kabisa kurudisha mpunga.

Kina FA na AY walikata rufaa pia kupinga uamuzi huu so kesi bado ipo tena mahakama ya rufaa.

FA alitolea ufafanuzi the very next day Dec 8, 2020 baada tu ya huu uamuzi wa mahakama, naweka link hapa chini umsikie.

Hii hela hairudi na jamaa wataendelea kurushana huko rufani miaka na miaka.

Cc: johnthebaptist
 
Sio rufaa mzee bali ni mapitio ya rufaa.
Tafuta judgment zote usome utaona ni wazi wajomba wanatemeshwa mzigo live.
 
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
King Msukuma
 
Back
Top Bottom