Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Msukuma umemsahau, Billionea wa biashara ya mbuzi kawekeza Geita, Biharamulo na Kakonko Kigoma.
 
Mkuu nilitaka kushangaa kesi ya rufani imeisha haraka hivyo. Kesi zikiendaga mahaka ya rufaa hadi hukumu kutoka subiri miaka mingine mitatu na zaidi.
Mahakama ilishatoa hukumu na Tigo kupewa tuzo ya ushindi

AY alishakuja kukutana na MwanaFA na Albert Msando ili wafanye namna ya kurejesha mpunga wa Tigo!
 
Lakini ukae ukijua kua ile bilikanas aliovunja mwenda wazimu wa kuzimu,ilikuwepo tangu na tangu.
Kwa vile ilikuwepo tangu na tangu ndo mnaemwita tajiri afanyie biashara zake pale bila kulipa kodi? Kweli bora uwe mgonjwa wa mwili kuliko kuwa mgonjwa wa akili.
 
Ukishakuwa masikini wa kurithi haya masuala huwezi kuelewa , hivi unafahamu kwa Mbowe anayo mahotel hata nje ya nchi ?

😂 ivi uko timam wewe? kua na hoteli nje ya nchi ndo kua billionea? ndo maaana nkakuuliza ni billionea wa tsh ama ligi ya mo dewji, maaana mpaka tunaongelea apa saaahv mo dewji ndo tajiri wa kwanza na bilionea pekee afrika masharika na kati, na pia ujue rostam sio billionea ni millionaire! yaani ukitaka kua na status ya billionea maaana yake una networth ya kuanzia trillion 2 za kitanzania, sasa wewe umeona kua na hoteli nje ndo amefika trillion 2? ivi hio ofisi yenu apo ufipa hua mnajadili nn haswa?
 
Ukishakuwa masikini wa kurithi haya masuala huwezi kuelewa , hivi unafahamu kwa Mbowe anayo mahotel hata nje ya nchi ?

kwa maneno machache status ya billionea ni kama hii apa
1618414049683.png

- huyu ana makampuni zaidi ya 100 nje ya nchi, na ndan ya nchi ndo hayahesabiki, anatoa ajira kwa watu zaidi ya 20,000 wote wanakaa ofisini wanapokea mshahara kila mwezi kutoka kwake, ni tafauti na huyo anaefanya biashara ya ruzuku
 
huyu dogo amevurugwa, cha ajab anamuweka kwenye ligi ya mo dewji, nashindwa kuelewa ili kukidhi vigezo vya kujiunga chadema unatakiwa upate elimu ya aina gan
Itakuwa moja kati ya promo wa Mwenyekiti wa kudumu daima milele.. Mh Mbowe
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Wewe tahira nyamaza. Mbowe kazaliwa familia ya kitajiri sio kama huko kwenu mnalogana ndo mpate pesa.
 
😂 ivi uko timam wewe? kua na hoteli nje ya nchi ndo kua billionea? ndo maaana nkakuuliza ni billionea wa tsh ama ligi ya mo dewji, maaana mpaka tunaongelea apa saaahv mo dewji ndo tajiri wa kwanza na bilionea pekee afrika masharika na kati, na pia ujue rostam sio billionea ni millionaire! yaani ukitaka kua na status ya billionea maaana yake una networth ya kuanzia trillion 2 za kitanzania, sasa wewe umeona kua na hoteli nje ndo amefika trillion 2? ivi hio ofisi yenu apo ufipa hua mnajadili nn haswa?
Nachukua nafasi hii kuachana na wewe na kukudharau moja kwa moja katika kipindi chako chote kifupi kilchosalia hapa duniani .

Bali kwa faida yako na wengine jitahidi kujua Mbowe ni nani , hiki ndicho kilichomshinda Magufuli , alidhani kumfungia akaunti za kibwege za mabenki ya ndani angemmaliza matokeo yake kaisha yeye
 
Back
Top Bottom