stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
We upo kwenye kundi gani?
hehehe siwashangai lakini mbowe si ndo billionea wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We upo kwenye kundi gani?
Nachukua nafasi hii kuachana na wewe na kukudharau moja kwa moja katika kipindi chako chote kifupi kilchosalia hapa duniani .
Bali kwa faida yako na wengine jitahidi kujua Mbowe ni nani , hiki ndicho kilichomshinda Magufuli , alidhani kumfungia akaunti za kibwege za mabenki ya ndani angemmaliza matokeo yake kaisha yeye
Wafanyakaz wake wanalala njaa mtu basi huyo muone hivyo hivyokwa maneno machache status ya billionea ni kama hii apa
View attachment 1751955
- huyu ana makampuni zaidi ya 100 nje ya nchi, na ndan ya nchi ndo hayahesabiki, anatoa ajira kwa watu zaidi ya 20,000 wote wanakaa ofisini wanapokea mshahara kila mwezi kutoka kwake, ni tafauti na huyo anaefanya biashara ya ruzuku
Wafanyakaz wake wanalala njaa mtu basi huyo muone hivyo hivyo
Mbn unaongea chakula cha kuku wewe..sawa mbowe sio billionaire billionaire Ni wewe..
Soma judgements mzee.
Acha kukaza fuvu wewe. Kesi bado ipo Court of Appeal.Soma judgements mzee.
Ndiyo kesi ipo ila court of appeal hakuna aliyebish walishatoa hukumu.Acha kukaza fuvu wewe. Kesi bado ipo Court of Appeal.
Sasa ulivokua unashupalia eti kina mwana FA wameshapukutishwa 2.1 B zote walizopewa, ulikua una take dump in your master bedroom toilet?Ndiyo kesi ipo ila court of appeal hakuna aliyebish walishatoa hukumu.
Kinachoendelea ni marejeo ya rufaa yaliyoombwa na kina ay baada ya kushindwa rufaa hiyo.
Kwahiyo nawashauri badala ya kupaparika hapa kasomeni hukumu ya kwanza, na hukumu ya rufaa ili muone mwanga kifuatacho baada ya hayo marejeo ya rufaa ambayo bado yapo court of appeal.
Mahakama ya rufaa imeshatoa hukumu ya rufaa kuwa ay na fa wamedondokea pua, hili inabidi ukubali.Sasa ulivokua unashupalia eti kina mwana FA wameshapukutishwa 2.1 B zote walizopewa, ulikua una take dump in your master bedroom toilet?
Mbowe nae bilionea ?Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.
Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.
Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?
Ramadan Kareem!
Pole sana, mama kakunyoosha mpaka unatapika!Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Acha upoyoyoKwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Bwana wewe huna hela tulia basi!😂 ivi uko timam wewe? kua na hoteli nje ya nchi ndo kua billionea? ndo maaana nkakuuliza ni billionea wa tsh ama ligi ya mo dewji, maaana mpaka tunaongelea apa saaahv mo dewji ndo tajiri wa kwanza na bilionea pekee afrika masharika na kati, na pia ujue rostam sio billionea ni millionaire! yaani ukitaka kua na status ya billionea maaana yake una networth ya kuanzia trillion 2 za kitanzania, sasa wewe umeona kua na hoteli nje ndo amefika trillion 2? ivi hio ofisi yenu apo ufipa hua mnajadili nn haswa?
Bwana wewe huna hela tulia basi!