DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Kwani mbowe nae ni billionea. Wapo akina Ahmed Shabiby , abood , kishimba n.k.Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.
Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.
Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?
Ramadan Kareem!