Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Wengi tu kama
1. Ridhiwani Kikwete
2. etc
 
Hakuna waumini masikini kama wanaosali kwa gwajima , ila yeye ana biashara zake
Mkuu nakubaliana na wewe. Wale waumini wake ni wenyeji wa Kitintale na Maziwa sehemu ambako kuna slums nyingi.

Kuna mtoto mzuri alikuwa anasali pale alikuwa anapiga vizinga huyo namkwepa ila siku nikapita kuingia stendi nikakuta anauza pombe za kupima nikakata tamaa. Siku moja alinipeleka kanisa lenyewe chakavu ila ukiona waumini ni wakufanana nalo.
 
Kigwa
Mzee wa nje ya box ndo tajiri alobaki
 
viroba
 
Mzee Abood hajafikia kuitwa bilionea?
Wanoko wanadai Marehemu Jiwe alvyozuru Moro mwanzoni mwaka huu na kumsema Abood vibaya hadharani. Alikimbia akajificha vichakani siku tatu akimlilia kwa huzuni na uchungu Allah amlipizie kisasi. Na kweli kilio chake kikasikika yaliofuata kilio cha Abood kimewafanya wengi washereheke.

Thanks so much Abood
 
Sio wewe ndo umekubali kulawitiwa kisiasa? Maana hata unavyoandika ni kana kwamba usipoandika pumba huduma huipati!!!
 
Baba angu aliniambiaga Mbowe ni tajiri kuliko tunavodhani yaani wa enzi hizoo..sikumuelewaga mzee!!!nimemuelewa juzi baada ya kuongea.

Ukiwa Chama Mbadala(Opposition) hautakiwi kuwa na Njaa(Kichwani +Tumboni) ,Ndio maana chadema haikuteteleka katika kipindi cha JIWE chote japo JIWE alinunua wapinzani.
 
Gwajiboy na kamsukuma hawa SSH akizingua wanaweza kumalizia mradi stragglers gorge na standard gauge kumuenzi hayati,sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…