Baada ya kutoswa kama Msemaji wa Yanga FC hatimaye Jerry Muro kauwasha moto na kuikashifu mno Yanga

Asante sana kumkumbusha hili. Ni mwezi huu huu wa July alituandikia kuwa yeye ni Simba na Pawasa ni mshikaji wake Sana. Kila akionana nae huwa anamwambia waliondoka na simba yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana na mambo ya Simba SC na Pawassa Mkuu ila Wewe amini kuwa Mimi ni mwenzako mwana Yanga FC na hata sasa hivi haya maisha magumu ya Klabu inayopitia tunaumia wote. Hakuna Timu nisiyoipenda kama ya Simba SC na natamani mno kuwa katika hiyo Mechi yetu na wao ya Ngao ya Jamii tuwafunge ila kila nikiiangalia hii Njaa tuliyonayo Yanga FC huku tukisajili kwa Mkopo na Mali Kauli hakina naziona goli saba ( 7 ) a.k.a Week zinakuja. Hivi Ewe mwana Yanga FC mwenzangu huogopi ule Usajili wa ' hatari ' wa Watani zetu Simba SC?
 
Shabiki na mwanachama wa Yanga hawezi kuandika huu uharo, wewe ni mbumbumbu fc, maandamano fc, FIFA fc, matope fc, viti maalum fc mengne ongezea mwenyewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Ewe mwana Yanga FC mwenzangu mbona ' unanitukana ' hivi? Nimekukosea nini? Sasa hivi Sisi wana Yanga FC tunatakiwa tuwe na mshikamano na tusigombane kwani kugombana Kwetu ndiyo ' dhahama ' ya kuja Kufungwa hata goli saba ( 7 ) na Simba SC mwezi ujao. Nakuomba sana mwana Yanga mwenzangu hebu tuunganishe nguvu tuweze kuitafutia Timu yetu mahala ambapo watafanyia mazoezi na pia tupate Pesa za kuwalipa akina Kamusoko, Ngoma na yule Kipa Mkameruni kwani kiukweli tumewakopa na wengine kuwasajili kwa Mali Kauli.
 
Haya sio maneno Jerry Sizonje wewe, umeongeza sukari yako kwenye hii thread na wewe utakuwa ni shabiki wa MIKIA FC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno matupu hayavunji mfupa. Katema ushuzi wake na sasa tumbo liko tupu anajisikia raha.

Kila la heri JM, tumekusikia.
 
Acha unoko mkuu, sie yanga hatuna kinyongo na mtu hata akatukana ni maneno....
"Mbele daima, nyuma mwiko"
 
Kwanini hakusema haya kabla mm naona turndelee na yanga yetu yanga ilikuwepo na itakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…