Msanii wa bongo fleva Timbulo amekasirishwa sana na wasanii wa kike na kusema wote hawana akili, hii ni baada ya kumpigia simu vanessa mdee na kutaka kuomba kolabo na Vanessa akasema hamjui
Kama hyo haitoshi Timbulo alifanya ngoma na msanii Malaika na ilipofika siku ya ku shoot video wakakubaliana kuwa atafika lakini Malaika hakutokea
ulisema unawahi kazini asubuhi nikuamshe mapema ee, bizebize kwenda mbele kusaka shilingi oo, ofisi deiwaka nyumbani, no pain no gain oo, hakuna vya bure ee, hakuna vya dezo, hakuna lelemama ooo, hakuna mterezo