Baada ya kutoswa na Vanesa na Malaika, Timbulo asema wasanii wote wa kike wana upeo mdogo sana

Baada ya kutoswa na Vanesa na Malaika, Timbulo asema wasanii wote wa kike wana upeo mdogo sana

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii wa bongo fleva Timbulo amekasirishwa sana na wasanii wa kike na kusema wote hawana akili, hii ni baada ya kumpigia simu vanessa mdee na kutaka kuomba kolabo na Vanessa akasema hamjui
Kama hyo haitoshi Timbulo alifanya ngoma na msanii Malaika na ilipofika siku ya ku shoot video wakakubaliana kuwa atafika lakini Malaika hakutokea
 
ulisema unawahi kazini asubuhi nikuamshe mapema ee, bizebize kwenda mbele kusaka shilingi oo, ofisi deiwaka nyumbani, no pain no gain oo, hakuna vya bure ee, hakuna vya dezo, hakuna lelemama ooo, hakuna mterezo

KAMA SIKOSEI ALIIMBA TEMBOLO HIYO VEZI HAPO JUU
 
Vanessa anasema hamjui Timbulo duuuh! kweli maskini akipata matako hulia mbwata
 
Just to make himself feel better...........Sizitaki mbichi hizi..
 
Siamini kama Vanesa ana nyodo hivo, hata kama hutaki kolabo haina haja ya kumwambia mtu hivyo
 
Kwan hiyo vanesa nani alikuwa anamjua?...aache nyodo za kisenge wakati hata basha wake jux hamfikii timbulo kwa umaarufu. ....
 
Hiyo yote kwasababu huna hela tunaposema wanawake baadhi wanafata hela tunaonekana wachochezi tafuta pesa mtoto wa kiume watakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom