The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Dah!! Preta bana lolhalafu ngoma dizain saa sita......ayaaay....sasa itakuwaje....?......
Kapendeza lakini....
asante mpwa kwa hii useful pikcha.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!! Preta bana lolhalafu ngoma dizain saa sita......ayaaay....sasa itakuwaje....?......
Kapendeza lakini....
asante mpwa kwa hii useful pikcha.......
hahaha Stay Tunedha ha.....uyuzifuli ni kwa macho tu ndugu yangu.....
Long time ujue.......habari za Gambia?
Sasa ufanye haraka.....kabla mwanga haujafifia.......
hahaha Stay Tuned
Kuna Ndege ya Jeshi itakuja, ngoja nikaombe lift kwa Kanali Magugu!
Hahaha!!! Unafanya kazi TACAIDS siku hizi??nakusanya maoni ujue.....
Hahaha!!! Unafanya kazi TACAIDS siku hizi??
Msalimie Loner lol!!!!mmmh...mpwa.....hii ni kitu hii......
Hahahaha! Usikute yanaanza matiti afu bdae zitatoka na hips...lol..saa 6........hahahahahahah Preta wewe!!umeyapenda eeh???
wataalam walituambia ARV inarefusha maisha tuuu, duuuuuuuuh kumbe inarefusha hadi matiti!!!
kwa hiyo hapa ni kuchagua matiti au kifo???
Msalimie Loner lol!!!!
Jiwekeni sawa, halafu mwambie Saharavoice Headquarter ndio mambo yote hata kama hataki kukubali najua na wewe utakaa tuLoner hapatikani....si unajua tunajifua kwa ajili ya kukimbiza upepo.......mimi mwenyewe hapa nimepita tu.....
Jiwekeni sawa, halafu mwambie Saharavoice Headquarter ndio mambo yote hata kama hataki kukubali najua na wewe utakaa tu
Hahahaha!!! Yameisha kwa huu usemi inaonekana mko chimbo ngoja niwaambie wapwa zangu wajiweke sawaorait orait......sasa tufanye hivi......Nyie ndio HQ na ndio branch....sisi tumeamua tuwe tambarare.....tutabaki kuwa wazee wa matukio....stay tuned....
Hahahaha!!! Yameisha kwa huu usemi inaonekana mko chimbo ngoja niwaambie wapwa zangu wajiweke sawa
halafu moja kubwa........daaaaah masikini