Baada ya kutumia ARV jamaa anaota matiti

ha ha.....uyuzifuli ni kwa macho tu ndugu yangu.....
Long time ujue.......habari za Gambia?
Sasa ufanye haraka.....kabla mwanga haujafifia.......
hahaha Stay Tuned
Kuna Ndege ya Jeshi itakuja, ngoja nikaombe lift kwa Kanali Magugu!
 
Sasa Bibie huu uyuzifuli hapa ni wa nini? kuangalia tu ama kuna kingine?
BTW mm misi yu sana!
Mwanga twauona lini?

Huyu mpwa wangu hilo garden love limemchanganya kabisa.
 
saa 6........hahahahahahah Preta wewe!!umeyapenda eeh???
wataalam walituambia ARV inarefusha maisha tuuu, duuuuuuuuh kumbe inarefusha hadi matiti!!!
kwa hiyo hapa ni kuchagua matiti au kifo???
Hahahaha! Usikute yanaanza matiti afu bdae zitatoka na hips...lol..
 
Loner hapatikani....si unajua tunajifua kwa ajili ya kukimbiza upepo.......mimi mwenyewe hapa nimepita tu.....
Jiwekeni sawa, halafu mwambie Saharavoice Headquarter ndio mambo yote hata kama hataki kukubali najua na wewe utakaa tu
 
Jiwekeni sawa, halafu mwambie Saharavoice Headquarter ndio mambo yote hata kama hataki kukubali najua na wewe utakaa tu

orait orait......sasa tufanye hivi......Nyie ndio HQ na ndio branch....sisi tumeamua tuwe tambarare.....tutabaki kuwa wazee wa matukio....stay tuned....
 
orait orait......sasa tufanye hivi......Nyie ndio HQ na ndio branch....sisi tumeamua tuwe tambarare.....tutabaki kuwa wazee wa matukio....stay tuned....
Hahahaha!!! Yameisha kwa huu usemi inaonekana mko chimbo ngoja niwaambie wapwa zangu wajiweke sawa
 
acheni kum sanif jamami.binaadamu hatujafa hatujaumbika
 
Bora yeye kapima kajijua katumia ARV na amevimba matiti.....je nyie na mimi ambao hatujapima.... hatujui hatima yetu....
 
tatizo ya misaada kupitiliza, tunaletewa dawa za majaribio, wanazimwaga huku wakipata rioti kama hizi wanaboresha ndio wanakunywa wao, enye uwezo bora waziagizie hukohuko tu
 
Madawa mengi yana side ractions ambazo hutofautiana kutoka m2 1 hadi mwingine kwake imetokea hivi na hakuna namna yataondoka ndani atakaa mpaka lini..... atoek na kuendelea na shughuli za kimaisha
 
dah natamani nimpachike demu wangu hayo matiti maana yake kama tambala,Mungu tuangalie waja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…