Baada ya kutumia dawa ya Omeprazole ikulu yangu yawa matatani

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,353
Reaction score
574
Salaam wakuu, mwezi March niligundulika kuwa nina vidonda vya tumbo (peptic Ulcer) na daktari akaniandikia dose ya Omeprazole + hyoscine.
Baada ya kumaliza dose hiyo, niligundua kuwa nguvu zangu za kiume zimepungua kwa kiasi cha kutisha.

Naomba ushauri nini nifanye, niko mbali na hospitali wakati huu.
 
pole sana kwa tatzo ulilonalo mungu atakusaidia utakuwa safi kabisa.Ninadawa ya asili inayotibu na kuondoa vidonda vya tumbo kwa mda wa kimbili tu,nidawa nzurisana,ndani ya mda wa sikumbili ukianza kutumia dawa hii utaona mabadiliko makubwa mno,hata kama tumbo lilikuwa limechachamaaa litaturia na hutasikia tena chokochoko ktk tumbo na baada ya dozi utakuwa safi kabisa.pia nina dawa kiboko kwa tatzo la upungufu wa nguvu za kiume,ni dawa inayoleta msisimko wa ajabu ndani ya mwili na kuufanya ume uwe na nguzu za kutosha ukisimama ni kama misiri ya msumari,kiukweli utaipendamno,kama unaitaji ntafute 0759217720
 
Hizo dawa hazibabaishi mapungufu ya nguvu za kiume labda kama kuna sababu nyingine zilizopelekea hali hio!
 
mkuu kwani siku hizi unapiga goli ngapi na kabla ya hapo hali ilikuwaje!
 
Hizo dawa hazibabaishi mapungufu ya nguvu za kiume labda kama kuna sababu nyingine zilizopelekea hali hio!

Mkuu tatizo hili limeanza baada tu ya kumaliza dose hii, so kwa akili ya kawaida tu nilidhani dawa hii ina side effect.
 
Rudia kusoma uzi huu, utaelewa tu.
ok lkn usi conclude kuwa ni dawa!na kwa vile umesema uko mbali na hosp ushauri wangu usianze kutumia dawa iwayo yote hadi utakapo pimwa maana yaweza kuwa una tatizo jingine halafu we ukaanza kutumia dawa!!psychological problems, lishe na fatigue na vitu vingine vingine husababisha mtu kujiona ana tatizo kama hilo lako!!
 


Kuna jamaa yangu nimempatia nambari yako kwani anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo
Bila shaka utakuwa msaada kwake.
 
Mkuu tatizo hili limeanza baada tu ya kumaliza dose hii, so kwa akili ya kawaida tu nilidhani dawa hii ina side effect.

Haina adverse effect hio...na kama unahisi ni kwasababu ya dawa basi wewe utakuwa wa kwanza kupata sideeffect hio
 
He he he. msumari?? Unataka amtoboe mtoto wa mwenzie?

 

Now you 're talking! Asante.
 
Kuna jamaa yangu nimempatia nambari yako kwani anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo
Bila shaka utakuwa msaada kwake.

Weweeee, achana na huyo tapeli. Bahati mbaya hayo ma-mizizi situmiagi!
 
Haina adverse effect hio...na kama unahisi ni kwasababu ya dawa basi wewe utakuwa wa kwanza kupata sideeffect hio

Do NOT assume that any side-effect shots the person has already announced!
 
Ple sana Hizo dawa za kizungu ni Sumu tupu ndugu yangu zimekusababisha wewe upunguwe nguvu zako za kiume ukitaka dawa ya kurudisha nguvu zaköo za kiume hebu tembelea bonyeza hapa
[h=1]Topic: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka![/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…