patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Salaam wakuu, mwezi March niligundulika kuwa nina vidonda vya tumbo (peptic Ulcer) na daktari akaniandikia dose ya Omeprazole + hyoscine.
Baada ya kumaliza dose hiyo, niligundua kuwa nguvu zangu za kiume zimepungua kwa kiasi cha kutisha.
Naomba ushauri nini nifanye, niko mbali na hospitali wakati huu.