Baada ya kutumia dose ya misoprostol bleeding imekataa kukauka.

mexico 1980

Member
Joined
May 15, 2015
Posts
68
Reaction score
50
Lengo lilikuwa kufanya arbotion na kweli baada ya kuitumia hiyo dose baada ya nusu saa tu alianza kubleed. Ilikuwa tarehe 22 mwezi huu.
Sasa mpaka leo hii 31 bado anaenda bleeding tu kama kuna msaada au ushauri naomba japo kitendo kilichofanywa si kizuri.
Kuna dawa yoyote anaweza kutumia ili kumaliza hii kadhia?
 
Hapo itaendelea bleeding hata wiki tatu
 
Mara nyingi it goes up to three weeks, japo itakuwa inakata mara moja moja na kuendelea.
 
Ba Bado inatoka Hadi leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…