mexico 1980
Member
- May 15, 2015
- 68
- 50
Lengo lilikuwa kufanya arbotion na kweli baada ya kuitumia hiyo dose baada ya nusu saa tu alianza kubleed. Ilikuwa tarehe 22 mwezi huu.
Sasa mpaka leo hii 31 bado anaenda bleeding tu kama kuna msaada au ushauri naomba japo kitendo kilichofanywa si kizuri.
Kuna dawa yoyote anaweza kutumia ili kumaliza hii kadhia?