Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu salaam sana..

Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.

Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2

Baada ya kutumia P 2

1) Akianza kupata siku zake ( kuona damu) hata katikati ya mzunguko wake wa hedhi ( kabla hajafikia hedhi).

- mpaka leo siku zake zimevurugika kabisa zinatokea kwa kuchelewa au kuwahi hazitabiriki

2) Alianza kuumwa na tumbo chini ya kitovu,

-maomivu ya tumbo upande wa kulia na hata wakati mwingine maumivu ya tumbo upande wa kushoto

3) kichefuchefu / kutapika

4) matiti kuvimba na wakati mwingine kuuma

5) Joto la mwili kupanda bila mpangilio

Sasa anahitaji kubeba ujauzito ila anashindwa kupata ujauzito kabisa. Afanye nini ili arudi sawa na aweze kubeba ujauzito ?

Asanten
 
Moderator huu uzi nimeuleta na huku baada yakule kuona kunasua sua. Naomba uuache na hapa kwa masaa 24 alafu uje uunganishe

Ndugu zangu salaam sana..

Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.

Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2

Baada ya kutumia P 2

1) Akianza kupata siku zake ( kuona damu) hata katikati ya mzunguko wake wa hedhi ( kabla hajafikia hedhi).

- mpaka leo siku zake zimevurugika kabisa zinatokea kwa kuchelewa au kuwahi hazitabiriki

2) Alianza kuumwa na tumbo chini ya kitovu,

-maomivu ya tumbo upande wa kulia na hata wakati mwingine maumivu ya tumbo upande wa kushoto

3) kichefuchefu / kutapika

4) matiti kuvimba na wakati mwingine kuuma

5) Joto la mwili kupanda bila mpangilio

Sasa anahitaji kubeba ujauzito ila anashindwa kupata ujauzito kabisa. Afanye nini ili arudi sawa na aweze kubeba ujauzito ?

Asanten
Madaktari amewaona..??
 
Pole ,chukua magome ya mkorosho na muembe chemsha pamoja na anywe kila siku ndani ya muda usiopungua wiki mbili
 
Ndugu zangu salaam sana..

Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.

Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2

Baada ya kutumia P 2

1) Akianza kupata siku zake ( kuona damu) hata katikati ya mzunguko wake wa hedhi ( kabla hajafikia hedhi).

- mpaka leo siku zake zimevurugika kabisa zinatokea kwa kuchelewa au kuwahi hazitabiriki

2) Alianza kuumwa na tumbo chini ya kitovu,

-maomivu ya tumbo upande wa kulia na hata wakati mwingine maumivu ya tumbo upande wa kushoto

3) kichefuchefu / kutapika

4) matiti kuvimba na wakati mwingine kuuma

5) Joto la mwili kupanda bila mpangilio

Sasa anahitaji kubeba ujauzito ila anashindwa kupata ujauzito kabisa. Afanye nini ili arudi sawa na aweze kubeba ujauzito ?

Asanten
Atumie P-1
 
Kuna niliewahi kuwa nae miaka ya 2016-2019 nae alikuwa muumini mkubwa wa matumizi ya p2 hata tukitumia ndom bado ataenda kubwia p2. Nilimshauri sana lakini hakunielewa akawa anajitetea akipata mimba mzee wake atamuua.

Kuna siku kanicheki analalama kwanini nilikua nampa hela za p2 kwa sasa mambo yamekuwa magumu haelewi elewi, nilimjibu jibu swali moja tu, nilimuuliza nilishawahi kukupa hela nikakwambia ukanunue p2 au hii bi kwa ajili ya p2? Akabaki bila majibu akaishia kusema nimuombee tu mambo yake yawe sawa ila huo muda wa kumuombea mtu mkaidi sina.
 
Hapo utajichosha bure tu, bora utulize komwe umeshajiharibu wewe subiri tu kuzeeka.

Hata ukizaa utazaa ZEZETA maana mwili wote umeshajaa MASUMU MATUPU, utatuongezea idadi ya MAZEZETA nchini.

Nakushauri ujikite kumeza dawa za kunenepesha INYE huenda utaokota LISPONSA la kukulea katika uzee wako.

Cc: Nyani Ngabu Extrovert Labella Kalpana
 
Back
Top Bottom