Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

Mchuma janga hula na wa kwao...
 
Akachukue watoto wa kulea vituo vya kulelea watoto yatima.
Kuna bwege litakuja kumvisha Pete huku likibubujikwa na machozi,likitaka limuoe
Fuc.k you nice guys
 
Taarifa hazijitoshelezi, je kameza kwa muda gani?? Je ni miezi miaka, awamu au miongo kadhaaa

Na je alikuwa anameza kwa utaratibu maalum au vululu vululu kama karanga yaani weka tuweke

Je ana umri gani sasa??

Na mpaka sasa ni muda gani tokea alivyoacha mara ya mwisho kumeza??


Mengine wataongezea
 
Pole yake sana, weka picha number yake ya simu, members wampe miongozo...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…