Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu salaam sana..
Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.
Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2
Baada ya kutumia P 2
1) Akianza kupata siku zake ( kuona damu) hata katikati ya mzunguko wake wa hedhi ( kabla hajafikia hedhi).
- mpaka leo siku zake zimevurugika kabisa zinatokea kwa kuchelewa au kuwahi hazitabiriki
2) Alianza kuumwa na tumbo chini ya kitovu,
-maomivu ya tumbo upande wa kulia na hata wakati mwingine maumivu ya tumbo upande wa kushoto
3) kichefuchefu / kutapika
4) matiti kuvimba na wakati mwingine kuuma
5) Joto la mwili kupanda bila mpangilio
Sasa anahitaji kubeba ujauzito ila anashindwa kupata ujauzito kabisa. Afanye nini ili arudi sawa na aweze kubeba ujauzito ?
Natanguliza shukrani za dhati.