Baada ya kuufikisha huu mzigo geto nimeishiwa nguvu nikazimia ghafla

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Wakuu nawaambia ukweli msipende kugegeda warembo msiowajua gizani aisee mtakuja kugegeda majini nawaambia

Huu mzigo nilichota counter baa moja hivi hapa town nikatoka nao hadi geto ile kufika tu kwenda kuoga na kurudi mtoto hataki taa iwashwe eti anataka show gizani kama siwezi asepe

Nikamwambia bia zangu umekunywa na pesa umechukua hapa kutoa ni lazima

Mtoto ile kumvua tu ana ngozi kama kibao chakukatia kashata niliishiwa nguvu nikazimia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mods wameipeleka chitchat

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Alivaa bui bui??
Hakukwambiq zima taa kwanza kabla hajavua??
 
Hiv bado watu wanachkua madem wauza k had leo,yaan i mean official k sellers,?au bar maids?..hiv wanawake wote hawa unakosaje dem?mnajitakia aisee
 
ahahahahhaaa teteteteee unanikumbusha mbali mhogo wa kuchoma na pilipili kwa sana,zamani nikiwa moshi mitaa ya relini
 

Mkuu, demu wa aina hiyo ni mtamu balaa. Shida ni mtungi. Huenda unatunza maji yaliyochacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…