Baada ya kuuziwa infinix kwa 700k ni mwaka na miezi miwili sasa zimepita nimesamehe nishaurini tena wakuu

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Niaje

Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera

sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k

hapo ninampango niongezeze 300k ili itimie 700k sasa nataka mnishauri ni mkwaju gani wenye akili timamu nikauvute kwa hiyo 700k mashariti iwe na uwezo wa kucheza games bila shida yoyote alafu iwe ina kaa na chaji vizuri iwe mpya maana simu mpya ni mara chache sana kuikuta na matatizo tofauti na zile za used from UAE
 
Tumia samsung wewe acha utani. Tafuta A series yeyote above A50
 
chukua Redmi note 12 turbo
 
Yaani umenunua 700 unauza 400 tena kwa ngosha, piga huyo msukuma 1m
 
No comment
 
Chukua Samsung Galaxy S10e China Mpya Inauzwa 420000/= Unapata Na Bonus Wireless Charger, Earbud
Pesa Inabaki Ya Voucher Na Mengine Yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…