Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Niaje
Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera
sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k
hapo ninampango niongezeze 300k ili itimie 700k sasa nataka mnishauri ni mkwaju gani wenye akili timamu nikauvute kwa hiyo 700k mashariti iwe na uwezo wa kucheza games bila shida yoyote alafu iwe ina kaa na chaji vizuri iwe mpya maana simu mpya ni mara chache sana kuikuta na matatizo tofauti na zile za used from UAE