Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
 

😀Shishi aliona wapaka poda sio.
Kuna mtu ukimuona tu unajua huyu pirika pirika bado hajamaliza, nawe unaingia hapo hapo. Acha uchezewe.
 
awe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
Gentleman kvp wengine sio ma gentlemen hebu nenda moja kwa moja kwenye point unayoificha

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
warumi wewe Ni genius uliona mbali Sana hii couple
 
Kamata soda kwa mangi na ujilipie mwenyewe....niliuliza swali mwanaume wa maana ni yupi ndio nilikuwa nasubiri jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…