Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
 
😀Shishi aliona wapaka poda sio.
Kuna mtu ukimuona tu unajua huyu pirika pirika bado hajamaliza, nawe unaingia hapo hapo. Acha uchezewe.
 
awe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
Gentleman kvp wengine sio ma gentlemen hebu nenda moja kwa moja kwenye point unayoificha

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
It sounded like a Kiki before, ila shortly after hearing jack Mini interview , kuwa walikua wana date na jamaa and it has been only two weeks ndipo jamaa akaamua kumchumbia, mind you nasikia jamaa akawa anamlazimisha wolper Sijui wafanye biashara flan hivi , sasa Naona jamaa kama alikua anataka push apate kiki . Pia Jacky alikua analalamika jamaa alikua anamfuata kazin na kumlazimisha waondoke wote saa mbili usku wakat yeye amezoea kukaa kazin kwake mda mrefu zaidi kwa ajili ya wateja wake.

What I’m seeing it’s either kweli inaweza kuwa kiki , or jamaa just wanted to use Jacky kwa gear ya ndoa and all that hili atimize matakwa yake ya biashara.

But I put all the blame kwa Jacky, you are beautiful, una jituma na una umaarufu wa kutosha why ujiingize kwenye mahusiano na vijana wasioleweka , jacky wa kudate na kina meja? , chidy ? , yani ukichek background ya wanaume anaodate wolper kwa kweli it’s pathetic , they say love is blind but **** it , unashindwa mpaka na mtoto mdogo kama lulu ? Shame on you , tunajua huna elimu na pia uwezo wako wa kufikiri na exposure uliyonayo ni ndogo , hakuna mwanaume wa maana utakayezana naye kama usipobadilika
warumi wewe Ni genius uliona mbali Sana hii couple
 
Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
Kamata soda kwa mangi na ujilipie mwenyewe....niliuliza swali mwanaume wa maana ni yupi ndio nilikuwa nasubiri jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom