Numbisa wolper analipa na nanimpigaji mzuri wa maisha sema Ni kwamba amekosa dira nzuri ya mahusiano yake ya mapenzi ila Kama Ni sifa ya wife material anayo.Pete za uchumba daah Lulu hana hamu.
Wolper kwisha habari yake tangu abadili dini kisa dalas hana soko tena
Umeongea point kubwa Sana lakini nikukumbushe wolper pia amewahi kudate na diamondKwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.
Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.
Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
Wolper anapenda sana kuwapa watoto wa kiume kiki.
Under ground wanajifunzia mapenzi kwake
Hapo unazungukazunguka lakini point ya msingi unalenga mwanaume wa maana Ni yule mwenye pesaawe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
awe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
Hapo unazungukazunguka lakini point ya msingi unalenga mwanaume wa maana Ni yule mwenye pesa
Inasemekana ana kaudhaifu flani kwenye jiko lake. Kuna ka harufu ka ng'onda 🤣🤣🤣 kwa mujibu wa serengeti boyz mmoja aliopata fursa ya kuwa nae penzini!awe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
You dropped a major fact lady! Wanahisi wanaume wa maana ni wenye pesa tu kumbe ishu ni kupata mwanaume mwenye nidhamu hata kama hana pesa nyingi ila anayejali. Wanawake wenye akili na kujitambua ndio hugundua hilo.Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.
Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
Akitembea anakuwaje mkuu? Tatizo hata kuandika sentensi kwa ufasaha hajui!
Tuachieni Wolper wetu jamani tum+@πb€! 🤣🤣🤣 !!!And she is very stupid not to realize that , yan easy going mpaka linatia hasira Yan , mtu mzuri lakini hana class , lipo lipo tu linabebwa hadi na wasukuma mikokoton Yan linaniudh mxieww
Inasemekana ana kaudhaifu flani kwenye jiko lake. Kuna ka harufu ka ng'onda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa mujibu wa serengeti boyz mmoja aliopata fursa ya kuwa nae penzini!
Nadhani mabaharia wanashindwa kuvumilia harufu ya ferry [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HinduWolper ni Dini gani
Sorry atafute mwanamme wa kuzaa nae tu ili apate watoto awalee aachane na mambo ya kutafuta mume ili awe na ndoa wakati umri unazidi kwenda.Watoto gsn tena mkuu
Sizani ulichoongea kinatoka moyoniSio kweli,,,kuna wanaume wangapi wana pesa lakini hawana maana,,,wanaishi kuwamega na kuwabwaga....hivi unadhani pesa ndy kila kitu...unaweza ukawa na pesa na ukawa hauna maana