Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
Umeongea point kubwa Sana lakini nikukumbushe wolper pia amewahi kudate na diamond
 
Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.

Bora kulia kwenye Range Rover shoga , upo nyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
awe Gentleman,,,, anayejali na anayejuwa thamani ya mwanamke,,,na anayejuwa majukumu yake kama mwanamme,,,, wolper kwann anang'ang'ania wauza sura? hata ukiangalia umri,,sio wa kuchumbiwa na hicho kijamaa.,.
Inasemekana ana kaudhaifu flani kwenye jiko lake. Kuna ka harufu ka ng'onda 🤣🤣🤣 kwa mujibu wa serengeti boyz mmoja aliopata fursa ya kuwa nae penzini!

Nadhani mabaharia wanashindwa kuvumilia harufu ya ferry 🤣🤣🤣
 
Kwa kumtolea mfano Lulu unamaanisha mwanaume wa maana ni mwenye pesa kama majizo.
Maana mbali na pesa huyo majizo hana umaana wowote ni mhuni kama wahuni wengine tuu.
Basi Leo akidate na diamond utaona kapata mwanaume wa maana ila kaa ukijua sio kila mwanamke anaangalia mwanaume awe na pesa ndio ampende. Wengine ni moyo ulipopenda hapo hapo.

Namkubali sana Shishi na Fundi gereji wake.
You dropped a major fact lady! Wanahisi wanaume wa maana ni wenye pesa tu kumbe ishu ni kupata mwanaume mwenye nidhamu hata kama hana pesa nyingi ila anayejali. Wanawake wenye akili na kujitambua ndio hugundua hilo.
 
Nimekuelewa sana huyu mkuu,,,anamaanisha alimuona live ni tofauti na picha za kwnye mitandao,,,nakubaliana moja kwa moja na wewe mkuu..wapo watu photo editor picha zinawabeba
Akitembea anakuwaje mkuu? Tatizo hata kuandika sentensi kwa ufasaha hajui!
 
And she is very stupid not to realize that , yan easy going mpaka linatia hasira Yan , mtu mzuri lakini hana class , lipo lipo tu linabebwa hadi na wasukuma mikokoton Yan linaniudh mxieww
Tuachieni Wolper wetu jamani tum+@πb€! 🤣🤣🤣 !!!

Nmekumbuka kauli kama hii iliwahi kutolewa kwa Wema na baharia mmoja kupitia voice note!
 
Mkuu hicho kiharufu mabaharia ndiyo ugonjwa wetu ... samaki lazima awe na shombo, sasa unakula samaki hata harufu husikii? huyo samaki au mishikaki ?kile kiharufu ndy kinaleta hamu ? Tatizo anatafuta vivulana hatafuti gentleman ... anapaswa atafute mtu wa kazi....amsuuze...
Inasemekana ana kaudhaifu flani kwenye jiko lake. Kuna ka harufu ka ng'onda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa mujibu wa serengeti boyz mmoja aliopata fursa ya kuwa nae penzini!

Nadhani mabaharia wanashindwa kuvumilia harufu ya ferry [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom