peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke?
Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa elimu msingi na afisa elimu sekondari ndani ya Manispaa moja? Ni nini hatima ya mkuu wa idara ya mipango na mkuu wa idara ya fedha ndani ya Halmashauri moja?
Ni nini hatima ya mkuu wa idara ya afya na mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii ndani ya Halmashauri moja?
Hawa ni baadhi tu ya watumishi wanaolipwa mishahara mikubwa bure na serikali kwa kuongeza milolongo ya vyeo visivyo na tija