Baada ya kuvunjwa kwa jiji la Dar, Serikali ipitie upya viongozi hawa

Kuvunjwa kwa jiji la Dsm kuende sambamba na kuivunja serikali kuu ili kuitisha uchaguzi mkuu mwingine ulio huru na haki.
Huu ndiyo ukweli. Tusidanganyane, mfalme yu uchi, hakubaliki na udhaifu wake unaonekana na kila mtu.
Hayupo asiyejua kwamba uchaguzi wa mwaka jana haukuwa uchaguzi bali ni UCHAFUZI
 
jamaa amejaa pumba kichwani
 
Wakati mwingine ni busara kukaa kimya.
 
Mkuu naona hujajua vizuri, hakuna halmashauri iliyovunjwa kwa hiyo watumishi wote wataendelea kwenye nafasi zao zilezile na halmashauri zilezile.
Hata wa Ilala watabaki vilevile, kilichobadilika ni jina tu kutoka Ilala Manispaa na kuwa Jiji lakini watu kwenye nafasi zao hazitabadilika.
 
Kwa unachokisema basi dhumuni la kubana matumizi linakuwa halijatimia.
 

Yaani wewe umechanganya mambo balaa

Kuna serikali kuu( Central government) na pia kuna serikali za mitaa( local government)

Halmashauri zote ni local government
 
Wengi uliotaja, kama RPC wapo chini ya serikali kuu kupitia wizara husika, mashirika kama Tanesco na TRA na yenyewe yapo central government kupitia wizara husika, hao walio chini ya mamlaka ya halmashauri watajua wenyewe namna watakavyojipanga..
 
Bavicha mna matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…