Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen amenAngalia sana pepo la uzinzi lisije likakuvaa tena. kukumbuka dhambi ulizotenda Mungu amekusamehe lskini kuzikumbuka ni ishara kwamba unazifurahia na hapo shetani atashika tena ufahamu wako na utajikuta teyari umeshaanguka. Shetani ni mjanja sana maana anatumia mawazo yetu na tamaa za mwili na macho.
Inaonekana ulikuwa una-enjoy sana ulipotenda uzinzi ndiyo maana umekumbuka orodha.Kwa mtazamo wangu dhambi hii naiona ni ya kipekee....kwani nilikuwa nimewasahau lakini ghafla kumbukumbu zinanijia mmoja baada ya mwingine.
Sawa mkuu, aongezee wangapi kukamilisha idadi?
Mbona wachache hivyo 🤔🤔🤔Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Unatubu nini kitu ambacho hakipo ewe Mgalatia usiye na akili?Na kutubu pia
Haleluya
Amen amenUnatubu nini kitu ambacho hakipo ewe Mgalatia usiye na akili?
Hivi unajua Mungu akikusamehe Dhambi yako licha ya kua yeye ni Mungu anayejua yote ni kwamba anakua ni hajui kama ulishawahi kua na Dhambi hii inatokana na utakatifu wake na ameweka utaratibu huu,
Ukimkiri Yesu kua ni Bwana na ya kwamba alikufa na kufufufuka kutoka wafu na ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba automatically huyo Yesu anakaa ndani yako yaani ni hivi ndugu
Mungu anavyokutazama ni hakuoni wewe sababu wewe ulishakufa katika mwili na kuzaliwa katika Roho kwa kile alichokifanya Yesu pale Msalabani hivyo wewe huonekani ila wewe anakuona ndiwe Yesu mwenyewe maana ulisulubiwa nae,ukafa nae nae ukafufuka nae
Broo wewe ni Mtakatifu aisee hivi unajua kwa nini Injili inaitwa habari njema?
Yaani ni kila kitu ulifanyiwa na Bwana Yesu wewe huna mchango wowote zaidi ya kusema asante,
Wahubiri wengi hawajui hii siri iliyo wazi wazi sijui wanakwama wapi
Hasa hasa walokole ndio mnatabu nyie mnajifanya kumsaidia Yesu kazi aliyokwisha ikamilisha
Hebu njoo chemba nikupe madini yatakayokuweka huru ili uufurahie wokovu ni very easy man!!!!!!
Bwana Yesu asifiwe nzalendo