TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Wewe jamaa hauna kazi za kukushughulisha nyuzi zako chitchat tu hauna hata nyuzi za kujenga Taifa ?
Hilo ni kundi la wapuuzi ambao sifanani nao pigo wala itikadi zao
Mkuu najua umeniweka kwenye hili kundi kwa sababu ya ustadi wangu wa kuukwea mnazi kwa kono Moja ambapo wewe umetafsiri kama kazi ya hovyo lakini ukweli ni kwamba ni shughuli inayofanywa na watu wote wenye akili kubwa duniani. Mbaga Jr.
Mbaga Jr.Kama na huku pia hamtonitaja, bc wote humu naenda kuwasemea kwa baba zenu
Pacha wako huyo ila yeye kazidi kuwa wa hovyo
Mkuu Mimi ni mtu mwema sana. We hujui tu.Pacha wako huyo ila yeye kazidi kuwa wa hovyo
Munch wa Annabelle.Sure mi mademu wananikubali sana sababu ya sounds zangu za kitaa na kuwachapa nao kinyama.
Zote ni dalili za 'Wewe kuwa wote hao kumbe Ni wewe huyohuyoDa mbooz akiwa normal anaitwa adriz, akichokozwa kidogo anageuka kuwa Driz de Mafwele, akilewa kidogo anaitwa Mcmillan de Maghayo, akivuta bange anakuwa Busu la Kenge na akiwa hoi kwa kuchanganua pombe Kali na bangi anakuwa loose Nut.
Mimi ni Mimi tu mkuu.Zote ni dalili za 'Wewe kuwa wote hao kumbe Nini wewe huyohuyo