Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha.

Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti na ualimu.

Lakini mioyo yao Iko mbali na Mungu.
Ni wazinzi wa kutupwa, hutumia sadaka kwa anasa na wengine ni walevi.

Sasa hawa tumewasema vya kutosha na tutaendelea kuwasema na kuwakemea bila hofu. Maana waumini wao wakisia unawasema wanakwambia utapata laana kwa kumsema mpakwa mafuta.

Mpakwa mafuta ya nguruwe?

Sasa zamu yenu masheikh
Kuna masheikh na maustadhi wakisoma kidogo tu hugeuka kuwa wavivu na kuanza kujigeuza waganga wa kienyeji. Ni wazinzi, wachawi, waongo na wahuni waliojificha kwenye mgongo wa dini. Acheni tabia hiyo.

Wengine mnajuficha kwenye mgongo wa Dua. Acheni uhuni tafuteni kazi halali. Kwani ni nani aliyewaambia kuwa Quran inafundisha uvivu?

Wilaya niliyotoka kila kijana aliyesoma Quran akirudi nyumbani hugeuka mganga. Tumieni hiyo ELIMU ya Quran kuelimisha jamii na kuwa kielelezo cha tabia njema.
Acheni uhuni.
 
Binafsi sijawahi amini sheikh yeyote au mwalimu yeyote wa dini si Kikristo au Kiislam maana wote ni fake kama ulivyotaja sifa zao hapo juu.
 
Kwani kuwa Mganga ni jinai?
Cha msingi asiwe Mganga Tapeli au mshirikina

Kabla ya kuja Wazungu miaka 120 iliyopita Waafrika walikuwa hawaumwi?…walikuwa wanatibiwa vipi?

Kuwepo Waganga Matapeli ni sawa na kuwepo vi dispensary vya kitapeli ambavyo kutwa ni kubambikia watu UTI na Malaria na hiyo haitufanyi tuseme huduma za hospitali ni mbaya
 
Habari!

Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha.

Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti na ualimu.

Lakini mioyo yao Iko mbali na Mungu.
Ni wazinzi wa kutupwa, hutumia sadaka kwa anasa na wengine ni walevi.

Sasa hawa tumewasema vya kutosha na tutaendelea kuwasema na kuwakemea bila hofu. Maana waumini wao wakisia unawasema wanakwambia utapata laana kwa kumsema mpakwa mafuta.

Mpakwa mafuta ya nguruwe?

Sasa zamu yenu masheikh
Kuna masheikh na maustadhi wakisoma kidogo tu hugeuka kuwa wavivu na kuanza kujigeuza waganga wa kienyeji. Ni wazinzi, wachawi, waongo na wahuni waliojificha kwenye mgongo wa dini. Acheni tabia hiyo.

Wengine mnajuficha kwenye mgongo wa Dua. Acheni uhuni tafuteni kazi halali. Kwani ni nani aliyewaambia kuwa Quran inafundisha uvivu?

Wilaya niliyotoka kila kijana aliyesoma Quran akirudi nyumbani hugeuka mganga. Tumieni hiyo ELIMU ya Quran kuelimisha jamii na kuwa kielelezo cha tabia njema.
Acheni uhuni.
Maswahaba wa Mtume kila mtu alikuwa na kazi yake ya kumuingizia kipato,hakuna aliyekuwa anategemea michango ya watu au ujanjaujanja,huo ndiyo msimamo wa Kiisilamu siku zote,na umefafanua nani wa kupewa zaka, nani wa kupewa sadaka
 
Halafu umenikumbusha kitu.
Nitaleta Uzi kuhusu hivi vi dispensary vya uchochoroni na uhuni wake.
Haiwezekani kila mtu akienda kupima wanamkuta either na UTI au malaria.
Hata leo ujifanye unaumwa ukiwazuga watakutundikia drip na kukuambia una wadudu wakali wa malaria
Kwani kuwa Mganga ni jinai?
Cha msingi asiwe Mganga Tapeli au mshirikina

Kabla ya kuja Wazungu miaka 120 iliyopita Waafrika walikuwa hawaumwi?…walikuwa wanatibiwa vipi?

Kuwepo Waganga Matapeli ni sawa na kuwepo vi dispensary vya kitapeli ambavyo kutwa ni kubambikia watu UTI na Malaria na hiyo haitufanyi tuseme huduma za hospitali ni mbaya
 
Tuambie kwanza mafanikio tuliyopata baada ya kuwasema hao manabii uchwara.
 
Uisilamu umefundisha mpaka kumjua mganga wa kweli au mshirikina,sio kwamba watu hawana uwezo wa kutibu,swali linakuja je anatibu kwa jina la Mwenyezi Mungu au shetani; mfano Mungu ametuumbia mimea na akakifanya kitabu chake Quruani kama tiba,

Mganga mshilikina utamjua kwa alama za Vibuyu,mikia ya wanyama,ngozi,mavitambaa mikunde na meupe na alama alamaa zaidi ya hizo,pamoja na tiba zake zinakuwa na masharti,mfano unapokunywa dawa angalia jua linapochomoza na mambo mengine mengine zaidi ya hayo
 
Halafu umenikumbusha kitu.
Nitaleta Uzi kuhusu hivi vi dispensary vya uchochoroni na uhuni wake.
Haiwezekani kila mtu akienda kupima wanamkuta either na UTI au malaria.
Hata leo ujifanye unaumwa ukiwazuga watakutundikia drip na kukuambia una wadudu wakali wa malaria
Siku hiz wanasema mgonjwa ana damu chafu, Kuna kadudu kamoja kako Nkuhungu wenyewe wanakasifia kweli kila anayekwenda pale jibu ni damu chafu yaani, sielewi kwa Nini hawaendi kwenye hospitali na zahanati za serikali wao hawanashida ya kumdanganya mgonjwa maana mwisho wa mwezi wana mshahara kutoka serikali, sio hospitali binafsi ni lazima wadanganye ili walipe/walipwe mshahara kupitia mgonjwa.
 
Back
Top Bottom