Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

Umeshau point ya msingi sana
~Wanawabaka na kuwanajisi sana mabinti kule madrasa, kesi za maustadhi na mashekhe kuwafanyia wanafunzi wao vitendo visivyofaa zimeripotiwa sana lkn cha ajabu hawakomi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kihuni sana
 
Bora umeliona hilo..waganga wengi mjini ni wavaa kobazi..halafu eti dini ya haki..wakati uchawi mtupu.

Madrasa nako wanahalibu vibinti..na vijana wadogo wanawageuza..absurd.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pele kiranja wa Masheikh anapokuwa mhuni mkuu,hapa ni Magufuli enzi za uhai wake alikuwa anaambiwa kuwa yeye ni mkubwa kuliko Mungu,Yesu na mtume😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mashehe nao wanauza mafuta ya upako wameiga mitume na manabii.
 

Daah asee nilipigwa niliambiwa nina damu chafu nikatundukiwa drip 4 nikachoma sindano mbili lile file la matibabu wakabaki nalo palepale bili ikaja 54000 nikaomba wanipunguzie kwasababu nilikuaa na 51000 nikalipa ya daah
 
Umeshau point ya msingi sana
~Wanawabaka na kuwanajisi sana mabinti kule madrasa, kesi za maustadhi na mashekhe kuwafanyia wanafunzi wao vitendo visivyofaa zimeripotiwa sana lkn cha ajabu hawakomi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuna watoto wa kubakwa siku hizi au hawakukubaliana tu? Mtoto mdogo bado yupo shule unakuta katoa mimba zaidi ya mara mbili.
 
Hili chaka hili mmh[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…