Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko.

Ukweli ni kuwa hadi mnaona Injinia Hesi anashiriki vikao vya CAF huku Yanga Jana kacheza na JKT Tanzania na kushinda mjue kuwa Ligi ya Tanzania wameshamaliza, mikakati na mbinu zao dhidi ya Simba ni mizito sana, mikakati yao ya kuiua SImba Iko kwenye bodi ya Ligi, Iko kwenye chama cha soka, Iko kwa waamuzi, Iko kwa makocha wa vilabu ambapo wamewahi kuchezea Yanga, Iko kwa wanachama wao wanaoiongoza Yanga kwenye vilabu vingine ambako wanavidhamini na Iko pia kwenye timuy yetu wenyewe ya Simba.

Tutapata sana taabu kuwafunga au kuwashusha hawa jamaa, hakyamungu nawaambia, hebu fikiria kipa wao kaingia nchini siku ya mechi na bado kacheza vizuri nyie hamuoni kuwa haya sio ya kawaida?

Wazee wangu wana hoja za msingi kabisa, kwa mfano Baraka Kizuguto Yuko TFF, Aron Nyanda Yuko TFF, Abeid Mziba Yuko TFF, hao wote wameshachezea Yanga na huyo Baraka aliwahi kuwa afisa pale jangwani wakati sie pale yupo Clifford Ndimbo TU ambaye hana ubavu wa kucheza na hao wote.

Kule bodi ndio usiseme, kwa hiyo hawa jamaa hatutaweza kuwafunga Wala kuwanyang'anya ubingwa na ndio maana zungu pori alisema watabeba ubingwa mara 30, hakusema kwa kubahatisha, alikuwa anamaanisha kwa sababu ya mikakati waliyokuwa nayo.

Njia pekee iliyobakia ni Moja tu kudadadeki, hakuna kulalamika Wala Nini, maana unaweza kwenda kulalamika serikalini kumbe unayemlalamikia ni Yanga Lia Lia, ushauri wangu wazee njia pekee iliyobakia Sasa hivi ni Moja tu, dondosheni KURUJUANI MOJA TU KUANZIA VIONGOZI WA jangwani, CHAMA CHA SOKA, CHAMA CHA WAAMUZI, BODI NA WALE WOTE WANAOTUSABABISHIA MARADHI YA MOYO HADI KUSABABISHA MWANACHAMA MWENZETU KUPOTEZA MAISHA PALE KIWALANI.PERIOD.
 
Mbumbumbu hamjui tatizo lenu
Tatizo lenu ni uongozi hawaleti quality players
Timu ya kuunga ndo ushinde kirahisi
Shukru tff wamewapa mechi za fountain gate na Tabora ambao aslimia 90 ya wachezaji walikuwa hawana vibali mkashinda

Ila tu Bado ipeni muda
 
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko.

Ukweli ni kuwa hadi mnaona Injinia Hesi anashiriki vikao vya CAF huku Yanga Jana kacheza na JKT Tanzania na kushinda mjue kuwa Ligi ya Tanzania wameshamaliza, mikakati na mbinu zao dhidi ya Simba ni mizito sana, mikakati yao ya kuiua SImba Iko kwenye bodi ya Ligi, Iko kwenye chama cha soka, Iko kwa waamuzi, Iko kwa makocha wa vilabu ambapo wamewahi kuchezea Yanga, Iko kwa wanachama wao wanaoiongoza Yanga kwenye vilabu vingine ambako wanavidhamini na Iko pia kwenye timuy yetu wenyewe ya Simba.

Tutapata sana taabu kuwafunga au kuwashusha hawa jamaa, hakyamungu nawaambia, hebu fikiria kipa wao kaingia nchini siku ya mechi na bado kacheza vizuri nyie hamuoni kuwa haya sio ya kawaida?

Wazee wangu wana hoja za msingi kabisa, kwa mfano Baraka Kizuguto Yuko TFF, Aron Nyanda Yuko TFF, Abeid Mziba Yuko TFF, hao wote wameshachezea Yanga na huyo Baraka aliwahi kuwa afisa pale jangwani wakati sie pale yupo Clifford Ndimbo TU ambaye hana ubavu wa kucheza na hao wote.

Kule bodi ndio usiseme, kwa hiyo hawa jamaa hatutaweza kuwafunga Wala kuwanyang'anya ubingwa na ndio maana zungu pori alisema watabeba ubingwa mara 30, hakusema kwa kubahatisha, alikuwa anamaanisha kwa sababu ya mikakati waliyokuwa nayo.

Njia pekee iliyobakia ni Moja tu kudadadeki, hakuna kulalamika Wala Nini, maana unaweza kwenda kulalamika serikalini kumbe unayemlalamikia ni Yanga Lia Lia, ushauri wangu wazee njia pekee iliyobakia Sasa hivi ni Moja tu, dondosheni KURUJUANI MOJA TU KUANZIA VIONGOZI WA jangwani, CHAMA CHA SOKA, CHAMA CHA WAAMUZI, BODI NA WALE WOTE WANAOTUSABABISHIA MARADHI YA MOYO HADI KUSABABISHA MWANACHAMA MWENZETU KUPOTEZA MAISHA PALE KIWALANI.PERIOD.
Huu ndio ushabiki maandazi naokataa, yaani kubwabwaja kote kisa kufungwa???

Mgeshinda je ungelalamika hivi??

Ashakum si matusi na simaanishi wewe, ila kuna watu wapumbavu sana
 
Aiseee elimu elimu elimu ,kwani simba wamezuiwa kusajili wachezaji wakubwa design ya Aziz Ki? Tajiri yenu ni bahili janja janja sana ,anaenda kuokoteza wachezaji ili waje kupambana na kina pacome,dube,azizi,chama kweli? Wewe umekomalia Yanga wakati inayoongoza ligi ni Sindida black...acha wenge.
 
Katika mechi ambayo haipaswi kulalamikiwa ni hii ya juzi dhidi ya vyura. Tuendelee kuimarisha kikosi ni suala la muda watafungwa tu, hakuna hujuma na kama ipo si ya kiwango hicho ni zile hujuma za kawaida za nje ya uwanja ambazo hata Simba pengine inafanya. Sisi tuimarishe kikosi January.
 
Ni sawa. Sasa ulitaka nani akubaliane nao wakati akili unafanana nao?.

Rage leo amesema kama mikia hatutaki kufungwa na YANGA tuanzishe ligi yetu. Tuwe na mikia A,Mikia B,C
 
Ndugu mbumbumbu tumieni madirisha ya usajili vizuri, Kwasasa karma inawatafuna na itaendelea kuwatafuna kwa muda mrefu.

Wakati wa Manji Yanga walikua vizuri Sana mpaka ilifikia Simba kuitwa wa matopeni maana ata kimataifa walikua wakishiriki kwa ku suasua.

Simba ikaja na Mkakati wa kumuondoa Manji kupitia Makonda ambaye alikua mkuu wa mkoa wa DAR na mshauri wa karibu wa MO.

Kuondoka kwa Manji kuli leta shida kubwa Yanga ilifikia hatua Yanga ilishindwa kulipa wachezaji kwa wakati.

Simba ilitumia fursa iyo ndani na nje ya uwanja, Yanga walijitahidi kupambana lakini fedha ikawa kikwazo, Simba wakawa wakihujumu mechi za Yanga hasa za mikoani.

Simba kupitia MO kumwaga fedha wakawa vizuri kuliko Yanga na kufanikiwa kutwaa mara nne Ubingwa wa ligi.

Baada ya Yanga kumpata GSM na Hersi Said Kila kitu kimebadilika.
Wametengeneza uongozi imara na timu Yenye Quality kubwa Sana.

Kwa Hali ilivyo Simba wata buruzwa kwa muda mrefu Sana kwakua ni Ngumu Yanga ikiwa ipo vizuri ki fedha Simba kuweza kufurukuta.

Yanga Ina network kubwa Sana Nchi nzima hasa kwenye matawi Yake kwaiyo kwa kuwashirikisha matawi ya mikoani kwenye mechi zake ni Ngumu kupoteza.
Pale Tff viongozi wajuu kabisa ni Simba na kwa miaka yote wame jaribu kuisaidia Simba ila inashindikana kwasababu ya quality ya timu.
Wales Karia ni Simba, Kidau ambaye ni katibu ni Simba, Mguto ni Simba, Madadi ni Simba, Ndimbo ni Simba ao ni kwa uchache tu.
Ata mechi iliyopita ilibidi achezeshe Arajiga ila Simba wakaomba msaada kwa wenzao pale Tff asichezeshe Arajiga.
Kwa Sasa Simba itaendelea kufungwa mpaka watakapo pata timu yenye Quality.
Mbaya zaidi, Yanga January wanaingia sokoni kuongezea Quality timu Yao.
 
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko.

Ukweli ni kuwa hadi mnaona Injinia Hesi anashiriki vikao vya CAF huku Yanga Jana kacheza na JKT Tanzania na kushinda mjue kuwa Ligi ya Tanzania wameshamaliza, mikakati na mbinu zao dhidi ya Simba ni mizito sana, mikakati yao ya kuiua SImba Iko kwenye bodi ya Ligi, Iko kwenye chama cha soka, Iko kwa waamuzi, Iko kwa makocha wa vilabu ambapo wamewahi kuchezea Yanga, Iko kwa wanachama wao wanaoiongoza Yanga kwenye vilabu vingine ambako wanavidhamini na Iko pia kwenye timuy yetu wenyewe ya Simba.

Tutapata sana taabu kuwafunga au kuwashusha hawa jamaa, hakyamungu nawaambia, hebu fikiria kipa wao kaingia nchini siku ya mechi na bado kacheza vizuri nyie hamuoni kuwa haya sio ya kawaida?

Wazee wangu wana hoja za msingi kabisa, kwa mfano Baraka Kizuguto Yuko TFF, Aron Nyanda Yuko TFF, Abeid Mziba Yuko TFF, hao wote wameshachezea Yanga na huyo Baraka aliwahi kuwa afisa pale jangwani wakati sie pale yupo Clifford Ndimbo TU ambaye hana ubavu wa kucheza na hao wote.

Kule bodi ndio usiseme, kwa hiyo hawa jamaa hatutaweza kuwafunga Wala kuwanyang'anya ubingwa na ndio maana zungu pori alisema watabeba ubingwa mara 30, hakusema kwa kubahatisha, alikuwa anamaanisha kwa sababu ya mikakati waliyokuwa nayo.

Njia pekee iliyobakia ni Moja tu kudadadeki, hakuna kulalamika Wala Nini, maana unaweza kwenda kulalamika serikalini kumbe unayemlalamikia ni Yanga Lia Lia, ushauri wangu wazee njia pekee iliyobakia Sasa hivi ni Moja tu, dondosheni KURUJUANI MOJA TU KUANZIA VIONGOZI WA jangwani, CHAMA CHA SOKA, CHAMA CHA WAAMUZI, BODI NA WALE WOTE WANAOTUSABABISHIA MARADHI YA MOYO HADI KUSABABISHA MWANACHAMA MWENZETU KUPOTEZA MAISHA PALE KIWALANI.PERIOD.
hahahahahahha
Tanzania yote huezi kukosa mashabiki wa simba na yanga!hata ukimtoa mziba anaekuja atakua yanga au simba!!so hakuna namna!nyinyi jipangeni na team yenu!!

ishu ya Diara, unalalamikia TFF kweli???kwani TFF ndo alishindwa kufunga goli kwa Diara!wachezaji wenu wenyewe wazembe!Diara ni world class goalkeeper mzee!!usifananishe na camara!!
 
Wazee wangu wana hoja za msingi kabisa, kwa mfano Baraka Kizuguto Yuko TFF, Aron Nyanda Yuko TFF, Abeid Mziba Yuko TFF, hao wote wameshachezea Yanga na huyo Baraka aliwahi kuwa afisa pale jangwani wakati sie pale yupo Clifford Ndimbo TU ambaye hana ubavu wa kucheza na hao wote.
 
Attachments

  • IMG_7736.jpeg
    IMG_7736.jpeg
    1.3 MB · Views: 4
Hao wanaosema Simba haina quality players ni mazezeta...msiwatoe wachezaji wetu kwny reli...acheni vijana wajitafute...mtajua hamjui...tena mkome kuingili kikosi chetu na kocha wetu...
Nyie wenyewe mmekaa huko makwenu hamna quality ni magarasa tuu...
 
Mimi siungi mkono kikao cha hao wazee, pendekezo langu wangefanya kimya kimya kumfinya huyu Ramadhan Kayoko aliyetunyonga, ikifaanyika hivi kwa marefa kama watatu wengine watakoma huu ujinga na kuzingatia sheria za mpira wanapokuwa wamekabidhiwa dhamana ya kuchezesha . Makelele hayasaidii, yule anawindwa kama digidigi hadi anaukimbia mji.
 
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko.

Ukweli ni kuwa hadi mnaona Injinia Hesi anashiriki vikao vya CAF huku Yanga Jana kacheza na JKT Tanzania na kushinda mjue kuwa Ligi ya Tanzania wameshamaliza, mikakati na mbinu zao dhidi ya Simba ni mizito sana, mikakati yao ya kuiua SImba Iko kwenye bodi ya Ligi, Iko kwenye chama cha soka, Iko kwa waamuzi, Iko kwa makocha wa vilabu ambapo wamewahi kuchezea Yanga, Iko kwa wanachama wao wanaoiongoza Yanga kwenye vilabu vingine ambako wanavidhamini na Iko pia kwenye timuy yetu wenyewe ya Simba.

Tutapata sana taabu kuwafunga au kuwashusha hawa jamaa, hakyamungu nawaambia, hebu fikiria kipa wao kaingia nchini siku ya mechi na bado kacheza vizuri nyie hamuoni kuwa haya sio ya kawaida?

Wazee wangu wana hoja za msingi kabisa, kwa mfano Baraka Kizuguto Yuko TFF, Aron Nyanda Yuko TFF, Abeid Mziba Yuko TFF, hao wote wameshachezea Yanga na huyo Baraka aliwahi kuwa afisa pale jangwani wakati sie pale yupo Clifford Ndimbo TU ambaye hana ubavu wa kucheza na hao wote.

Kule bodi ndio usiseme, kwa hiyo hawa jamaa hatutaweza kuwafunga Wala kuwanyang'anya ubingwa na ndio maana zungu pori alisema watabeba ubingwa mara 30, hakusema kwa kubahatisha, alikuwa anamaanisha kwa sababu ya mikakati waliyokuwa nayo.

Njia pekee iliyobakia ni Moja tu kudadadeki, hakuna kulalamika Wala Nini, maana unaweza kwenda kulalamika serikalini kumbe unayemlalamikia ni Yanga Lia Lia, ushauri wangu wazee njia pekee iliyobakia Sasa hivi ni Moja tu, dondosheni KURUJUANI MOJA TU KUANZIA VIONGOZI WA jangwani, CHAMA CHA SOKA, CHAMA CHA WAAMUZI, BODI NA WALE WOTE WANAOTUSABABISHIA MARADHI YA MOYO HADI KUSABABISHA MWANACHAMA MWENZETU KUPOTEZA MAISHA PALE KIWALANI.PERIOD.
Rage huko uliko shikamoo.
 
Karoo na Kidau je?
 
Hamna hoja hapo, simba walichukua kombe misimu mitatu, hiyo Bodi ya Ligi imebadilika au akina Baraka Kiziguto hawakuwepo hapo TFF?
 
Back
Top Bottom