Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

Mpira sio uadui upumbavu kama huu wa kutishia usalama wa mtu kisa mpira ni ujinga na wanapaswa kukemewa na wanamichezo wote
 
ADUI wenu ni yule gabachori. Mtalaumiana sana ila yule ndio anawaharibia timu.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
 
Karia na Kidau si Mikia FC hao.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALY AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

CAPO.
 
sijasoma yote ila yanga wamepiga kwenye mshono safari hii;
yaani mtani Kila kitu vululu vululu hajui ashike wapi nafurahi sana kwakweli😂😂😂
 
Wewe ni zuzu kweli na mada zako waga ni za kujuha sana..
Utakua umekulia kwenye ufukara sana wewe kwa akili hizi za kichawi ulizonazo..
 
Injinia Hersi mmoja kawazidi viongozi wote wa Simba!.
Goli kajifunga Kijili kwa msaada wa Camara lawama zinaenda kwa watu ambao awahusiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…