Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo.

Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo.

Source: CNN
 
Ugomvi wa ndugu...
who will win 😅🤣.jpeg
 
Kuna kila dalili UN na yenyewe inaelekea kuwa kama The League of Nations! Na mwisho wake pia hautakuwa mzuri bila shaka kwa amani ya dunia.

Kwa sababu haya machafuko yalitakiwa kudhitiwa mapema tu! Ila ndiyo hivyo tena.
 
UN imejaa unafki mkuu
 
Back
Top Bottom