Baada ya Kuzinduliwa Kwa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi), Jiji la Mwanza Kuipiku Dar Kiuchumi

Nje ya mada kidogo..

Hizo GDP hapo source yake ni ipi? Arusha haiwezi kupitwa na Morogoro Wala Mwanza hizo ni takwimu za kupika
 
HAYO NDO MAENDELEO YA NCHI NINAYOYATAKA MIMI MWANANCHI... WENGINE WANATAKA MPAKA WAINGIZIWE MIFWEDHA MIFUKONI MWAO NDO WASEME NCHI IMEPIGA HATUA...SAMIA MITANO TENA.
 
Watu wanaweza sema haiwezekani lakini hii ni Game ya namba
Angalia mchango wa pato la taifa la mikoa 6 bora
GDP contribution by region in 2023 (%):


  1. Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion)
  2. Mwanza: 7.2% (13.5 trillion)
  3. Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion)
  4. Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion)
  5. Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion)
  6. Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion)
Hadi kufika 2030 Mwanza inaweza kuwa inachangia Kwa asilimia ya “namba mbili” au double digit
 

Attachments

  • IMG_0404.jpeg
    1.8 MB · Views: 25
Bado Sana...
 
NO REFORM NO ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…