Baada ya Kuzinduliwa Kwa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi), Jiji la Mwanza Kuipiku Dar Kiuchumi

My Take
Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki.

Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁

---
Mwanza is poised to become a real economic competitor to Dar es Salaam in the next decade—thanks to billions of shillings being pumped into infrastructure projects, a strategic location and the vast economic potential of Lake Victoria.

Going by official figures from the Bank of Tanzania (BoT), Dar es Salaam leads in contribution to gross domestic product (GDP), accounting for Sh32.1 trillion of Tanzania’s Sh188.8 trillion economy as of 2023.

GDP contribution by region in 2023 (%):

1. Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion)
2. Mwanza: 7.2% (13.5 trillion)
3. Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion)
4. Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion)
5. Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion)
6. Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion)

But in a bold declaration of intent during an exclusive interview with The Citizen, Mwanza Regional Commissioner Saidi Mtanda highlighted various strategies and projects that aim to make Mwanza a big contributor to Tanzania’s economy.

He expressed confidence that Mwanza's percentage contribution will surge into double digits by 2035.

“Our goal is to exceed 10% contribution to the national GDP,” Mr Mtanda said.

Mwanza is undergoing a major transformation. The Kigongo-Busisi Bridge, worth Sh700 billion, Tanzania’s longest, is now operational—eliminating the reliance on ferries and cutting travel time dramatically between key areas.

Next is the Sh28 billion expansion of Mwanza Airport, which will become an international hub with the capacity to serve up to 4,000 passengers at a time, up from the current less than 100.

Chanzo: The Citizen

GDP za Mikoa tajwa ziko hivi (takwimu za 2023)

1.Dar =32.1T

2.Mwanza =13.5T

3.Mbeya =10.5T

4.Morogoro =9T

5.Arusha =8.9T

6.Tanga= 8.8T
Hizo takwimu zenyewe za kuokoteza, pili hilo daraja litabadilisha nini? Lile daraja ni white elephant project. Utasafirisha nini kutoka Kagera na Geita kuibadilisha Mwanza? Tumia akili badala ya makalio. Ile daraja ni ubinafsi na ubaguzi wa Magu. Chato Intl. Airport imeleta nini zaidi ya kuanikia dagaa? Magu hakuwa na akili tumshukuru Mungu isingelikuwa Samia ht hilo daraja asingekamilisha alishaishiwa pumzi. Mtu mshamba ni mshamba tu.
 
Kabla ya kupayuka uwe unasoma.NBS hawaokotezi takwimu
 
Usinifokee
Au siyo? 😂😂👇👇
Screenshot_20250623-083055.jpg
 
mwanza haiwezi kuipiki dar asilani
 
Hizo takwimu zenyewe za kuokoteza, pili hilo daraja litabadilisha nini? Lile daraja ni white elephant project. Utasafirisha nini kutoka Kagera na Geita kuibadilisha Mwanza? Tumia akili badala ya makalio. Ile daraja ni ubinafsi na ubaguzi wa Magu. Chato Intl. Airport imeleta nini zaidi ya kuanikia dagaa? Magu hakuwa na akili tumshukuru Mungu isingelikuwa Samia ht hilo daraja asingekamilisha alishaishiwa pumzi. Mtu mshamba ni mshamba tu.
Acha usenge wewe kitu kikijengwa dar Dodoma na Arusha ni sawa ila kikijengwa Kanda ya ziwa sio sawa kwa maoni Yako kwa taarifa tu watu walikuwa wakipoteza muda mwingi sana kuvuka pale kigongo na busisi ila kwa sababu umejaa ukanda na ushamba na ujinga na unafiki na uzandiki hutaona faida ya daraja baki huko huko jinga wewe sisi tunatamba na daraja letu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💪💪💪💪💪
 
Ukitumia lugha ya Kiswahili ni wazi kwamba mpaka mwisho wa Dunia Mwanza haiwezi kuipiku Dar kiuchumi, ila kwa lugha ya Kiingereza inawezekana...
 
Back
Top Bottom