kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Striker force ambaye amezoea kupokea makrosi ya Joyce Lomalisa,Djuma Shaban,Shadrak Boca na Max Nzengeli jana alipoina inakuja krosi ya wakongo akajua yupo kwenye majukumu ya klabu akaitia kunyavu cha kushangaza akaona wenzie hawashangilii ndipo huzuni ilipomshika,cha pili moroco anatakiwa amuanzishe saafudin tu nchi kwa hivi sasa haina striker zaidi ya huyo jamaa!