Kwani nani kaandika ni ajabu.Kilichoandikwa ni kwamba Mzize kafungisha.Ukajaribu kutetea.Sasa ajabu ni nini ndio mara yako ya kwanza kuona own goal?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani kaandika ni ajabu.Kilichoandikwa ni kwamba Mzize kafungisha.Ukajaribu kutetea.Sasa ajabu ni nini ndio mara yako ya kwanza kuona own goal?
🐸🐸🐸🤣🤣🤣.Sasa ajabu ni nini ndio mara yako ya kwanza kuona own goal?
Wamepaniki kama timu ni yao!Kwani nani kaandika ni ajabu.Kilichoandikwa ni kwamba Mzize kafungisha.Ukajaribu kutetea.
Wakikataa ndio vizuri kutakua hakuna magoli ya kidwanzi!Ndio maana wachezaji wanakataa kuchezea hii timu, lawama nyingi
Safi sana tena next time tunajifunga mengi🐸🐸🐸🤣🤣🤣.
nyie ni hasara kwa taifa
Sijui kwanini hajajifunga mawili next time atupie matatuKwani nani kaandika ni ajabu.Kilichoandikwa ni kwamba Mzize kafungisha.Ukajaribu kutetea.
Ni yenuWamepaniki kama timu ni yao!
Mimi ni mkongo kama mzize!Ni yenu
Saafudin uzito umepungua?Striker force ambaye amezoea kupokea makrosi ya joyce lomalisa,Djuma shaban,shadrak boca na max nzengeli jana alipoina inakuja krosi ya wakongo akajua yupo kwenye majukumu ya klabu akaitia kunyavu cha kushangaza akaona wenzie hawashangilii ndipo huzuni ilipomshika,cha pili moroco anatakiwa amuanzishe saafudin tu nchi kwa hivi sasa haina striker zaidi ya huyo jamaa!
Majini hayapandi ndegeSafi sana tena next time tunajifunga mengi
Haki yake na jezi walizovaa ndio kabisa zilimchanganya!Apewe mshiko wa goli la mama.