kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Salamu ziwafikie bandugu ya kongo!Sawa, tuma salamu kwa watu watatu
Alivyomuona Ali salimu golini akajua anacheza na simba!Mm yanga damu ila kwenye timu ya Taifa utopolo wanachomesha sana
Mshenzi ni striker force kaota trh 19 hata asipofunga keshamfunga Ali salimu jana!Hahahaha
Mkuu ww ni mshenzi sana
Hatari sana uto!Jana taifa stars imefungwa na Yanga
Alituliza kifuani ili golikipa adake mimi niliona hivyo, kuna kitu cha kujifunza pale na siyo kulaumuStriker force ambaye amezoea kupokea makrosi ya joyce lomalisa,Djuma shaban,shadrak boca na max nzengeli jana alipoina inakuja krosi ya wakongo akajua yupo kwenye majukumu ya klabu akaitia kunyavu cha kushangaza akaona wenzie hawashangilii ndipo huzuni ilipomshika,cha pili moroco anatakiwa amuanzishe saafudin tu nchi kwa hivi sasa haina striker zaidi ya huyo jamaa!
Kama ni funzo tuweke wazi hakuna!Alituliza kifuani ili golikipa adake mimi niliona hivyo, kuna kitu cha kujifunza pale na siyo kulaumu
Ulie mpira umemgonga hata angeupisha bado ulikua unaenda goliniMzize alizingua sana
Kwa hiyo akaona ausukumize wavuni.Ulimgonga atakuwa amefunga yeye ndio maana ikahesabiwa kama own goal.Wacha kutetea uzembe.Ulie mpira umemgonga hata angeupisha bado ulikua unaenda golini
Ulitegemea nn mchezani hana ball control, kuna watu wanamlaumu kipa ila kipa alijitahidi mno, Mzize kasimama tu golini nayo jangaKwa hiyo akaona ausukumize wavuni.Ulimgonga atakuwa amefunga yeye ndio maana ikahesabiwa kama own goal.Wacha kutetea uzembe.
Sasa ajabu ni nini ndio mara yako ya kwanza kuona own goal?Kwa hiyo akaona ausukumize wavuni.Ulimgonga atakuwa amefunga yeye ndio maana ikahesabiwa kama own goal.Wacha kutetea uzembe.