ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Fafanua kidogo mkuu hiyo itanyamanzisha msisimko wa mwiliMrudie muumba wako
Kwanini una waza mambo hasiπKinachofuata ni kuomba tigo na kukufuru
ππ wewe lete mbinu bhanaBila shaka ulikua mpinga ndoa
Mwanamke? Inawezekana?Njia nzuri ni kugasiwa.
Labda upelekwe sobaππ wewe lete mbinu bhana
Hiyo soba ipo wapi ni kweli kuna soba ya aina hiyo?Labda upelekwe soba
Ww ni jinsia gani ke/meMwanamke? Inawezekana?
KeWw ni jinsia gani ke/me
Watafute ma sister wa Roma (rc) wakupe code.
Kwani wale si hajawahi kuguswaWatafute ma sister wa Roma (rc) wakupe code.
AsanteStop chasing cheap dopamine. Sex is overrated.
Wadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili.
Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe?
Ukweli ni kwamba wakati mwingine hisia zinakuja ghafla, mwili unahitaji bila hata kupanga. Ndiyo maana najiuliza:
Je, tamaa au hamu ya mwili inaweza kufutika kabisa?
Kuna mtu aliyewahi kuacha kwa miaka kadhaa baada ya kuzoea?
Ni njia gani zinafanya kazi kweli?
Naomba uzoefu wa kweli na ushauri wenu, hasa waliowahi kupitia hali kama hii.
Wakuu karibuni ππ
Astghafirullah ππZiba na gundi hilo tobo hapo katikati ya mapaja